Swali la ajira kwa waliomaliza bachelors za Computer Science ama I.T

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Hivi wakuu,wale mliomaliza hizo kozi nilizozitaja hapo juu,soko la ajira likoje kwa sasa hapa nchini?
Rate ya mishahara inaendaje pia kwa wenye hizo bachelors...
 
soko co zuri sana kama zamani manake sasa kuna wahitimu wengi wa hizo fani,kuhusu mishahara cna uhakika sana lkn nackia inaanzia laki 5 na kuendelea,ila kama ww ni wa kamlete unaweza pata mshahara mpaka 1.4m kwa anaetoka moja kwa moja chuoni.
 
Eti kamlete,hahaha!Nimekuelewa mkuu,mi nadhani sasa inabidi ubunifu uongezeke maana!Eti Tanzania haina wasomi wengi,sasa wawe wengi ili wakose kazi sijui...
 
Tatizo technology sio kitu cha kukariri,inachange daily,but I hope in the future,hizi kazi ni promising kwa jinsi ninavyoona matumizi ya internet yanavyoongezeka.

kaka acha kuishi maisha ya kukariri, hivi unajua jukumu la computer scientist? Maana usije ukawa unasoma halafu hujui profession yako inakutaka ufanye nini,kazi zao zimebase kwenye database sasa kwa Tanzania makampuni mengi database zao ziko njee kwahiyo unakuta wataalamu wengi hawana mishe,kingine mtu kama anataka network au internet services ni rather ampe deal hata technician wa ucc maana ana huwezo kama mtu mwenye bachelor na anapiga mzigo fresh tu.

In short technology inakua ila through new annovations kampuni nyingi zina replace machines badala ya kuajiri watu.Unakuta system admin mmoja amebeba majukumu ya watu 10 sasa unategemea wahitimu wa hii course mtafanya ishu gani? Na wahitimu wako wengi more than you can imagine na hawana ishu rasmi za kufanya.
 
Sawa,lakini huoni kwamba matumizi ya technology yanaongezeka kwa kasi nchini?
Kwanini kazi ziishe...

ni kweli kuwa matumizi ya teknolojia yanakua, ila tatizo mpo wengi, mnaizidi hata speed ya kukua kwa teknolojia iliyopo hapa TZ. Mtaishia kuajiriwa kwenye internet cafe za town.
 
Nyie ndio watu mnaotakiwa sana katika kukuza teknolojia. Ila tatizo hii nchi haijui kuwadhamini. Pia mpo wengi mno.
 
kaka acha kuishi maisha ya kukariri, hivi unajua jukumu la computer scientist? Maana usije ukawa unasoma halafu hujui profession yako inakutaka ufanye nini,kazi zao zimebase kwenye database sasa kwa Tanzania makampuni mengi database zao ziko njee kwahiyo unakuta wataalamu wengi hawana mishe,kingine mtu kama anataka network au internet services ni rather ampe deal hata technician wa ucc maana ana huwezo kama mtu mwenye bachelor na anapiga mzigo fresh tu.

In short technology inakua ila through new annovations kampuni nyingi zina replace machines badala ya kuajiri watu.Unakuta system admin mmoja amebeba majukumu ya watu 10 sasa unategemea wahitimu wa hii course mtafanya ishu gani? Na wahitimu wako wengi more than you can imagine na hawana ishu rasmi za kufanya.
Sijasema mimi nasomea hayo mambo mkuu,sijakariri,mi nafanya kazi za i.t na sijasomea hayo mambo!Hapo kwenye red sihusiki,kama wewe unadhani kazi zimebase kwenye database tu,kalaga baho!
 
Sijasema mimi nasomea hayo mambo mkuu,sijakariri,mi nafanya kazi za i.t na sijasomea hayo mambo!Hapo kwenye red sihusiki,kama wewe unadhani kazi zimebase kwenye database tu,kalaga baho!

ukitaka kujua majukumu yao unaweza ukaangalia prospectus na courses zao,kuhusu software development kibongo bongo hata watu wa diploma wa datastar wanapiga mzigo,ukija kwenye networking kibongo bongo bado kuna maeneo mengi hawaitaji network lakini nchi za wenzetu zilizoendelea inatakiwa kila raia hawe na network nyumbani kwake,hii inatoa fursa za ajira kwa watu.Bongo kazi zao chache halafu market yao hiko flooded.
 
Ukuwaji wa cloud computing na kuimarika kwa mkonga wa taifa wa mawasiliano utauwa ajira za IT na computer engineering specialist. Kampuni na taasisi nyingi zinakwepa gharama za hardware,computer staff na maintanance cost kwa ku outsource IT activity to datastorage firms ambazo zipo nje ya nchi. A simple web browser is all that is needed to gain access to web based bussiness applications.
 
Hivi wakuu,wale mliomaliza hizo kozi nilizozitaja hapo juu,soko la ajira likoje kwa sasa hapa nchini? Rate ya mishahara inaendaje pia kwa wenye hizo bachelors...
Soko la ajira lipo hasa vyuoni kufundisha IT au computer applications.
 
nowadays well reputed company zina OUTSOURCE all IT activity to small company as a way to reduce cost, and those IT company which are outsourced zina deliver service kwa low costs hili zipate profits,, so ajira kwa graduate zipo sana kwenye small outsourced company but mshahara ni mdogo ili kupunguza cost as to increase their profit compared to zamani walipokuwa wanaajiriwa direct kwenye hizo big company, mfano where am working IT services wamekuwa outsourced a small company called POWER COMPUTER na ni wahindi tupu, kwa hiyo wanafanya service na shughuli zote za IT on behalf our company,, na hii imesababisha tuwe na IT department isiyozidi watu 10 ambao ni waajiriwa wa our company,,

Kwa kumalizia graduate msiwaze sana kuajiriwa zaidi ya kuwa innovatives na kuanzisha kampuni zenu ndogo na kufukuzia tenda za kuwa outsourced na nyie katika big company like TRA, TANESCO,VODACOM ETC la sivyo ni kusali sana
 
Ukuwaji wa cloud computing na kuimarika kwa mkonga wa taifa wa mawasiliano utauwa ajira za IT na computer engineering specialist. Kampuni na taasisi nyingi zinakwepa gharama za hardware,computer staff na maintanance cost kwa ku outsource IT activity to datastorage firms ambazo zipo nje ya nchi. A simple web browser is all that is needed to gain access to web based bussiness applications.
unao
ngea lugha gan?
 
Ningependa kujibiwa hii issue na mdau aliyesomea haya mambo wakuu,kama mpo naomba mchango wenu!
 
Ningependa kujibiwa hii issue na mdau aliyesomea haya mambo wakuu,kama mpo naomba mchango wenu!

we em huwe unafikiria,umeshajua kwamba soko limekufa alafu mtu huyo huyo yaliomkuta unataka akupe heti maelezo kuhusu ukweli hizi taarifa sio fresh kuwasanifu wenzio.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom