Swali kwenu CCM: Dalili za mvua ni mawingu au Dalili za mawingu ni mvua ?

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
7,670
13,150
Kwenu ninyi muipendao CCM na viongozi wake tukianza na Mwenyekigoda jk,Katibu makamba na wengineo msululu mreeeeeefu.. Tusaidieni kujibu hili swali kipi ni sahihi Dalili za mvua ni mawingu au Dalili za mawingu ni mvua. Muda umefika wa kutuachia nchi yetu na mali yetu. Tumechokaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom