Swali:Kwanini macelebrities/Mastars huwa hawa-comment au ku-like status

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Za watu ambao sio maarufu? Swali hilo kauliza Arnold kayanda wa Clouds FM(Mtangazaji wa Jahazi na Kibonde),wewe ungemjibu vp?
 
unamjuaje star au celebrity hapa jf..all posters here have fake IDs including me and you..
 
unamjuaje star au celebrity hapa jf..all posters here have fake IDs including me and you..

Mi no! aa! this is ma realy ID. nafaamika sana maeneo y tandale na manzese!! so i am a star!!
 
Mimi navyojua na ninavyoamini kuwa jf tu pamoja natumia id fake mimi ni bonge la star..tena kuliko ambao wewe unawaita star.
 
Mi no! aa! this is ma realy ID. nafaamika sana maeneo y tandale na manzese!! so i am a star!!
Mbona hiyo ndoo mitaa yangu na hatufahamiani?. Mimi naishi pale gereji bubu pembeni ya huo msikiti wa hapo Popo Bawa. Niko na hawa jamaa tunadeal na sile issue za mitaa hii. Siku nikiwa fit napiga msosi pale kwa mpemba wa daybreak na siku dili zikigomba nakula pale kwa bonge.
 
Back
Top Bottom