Swali kwa wenye akili timamu tu na zilizokomaa tu.

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
NAWASAALIMU WOTE WANA CHIT-CHAT ,HABARI ZA WEEK END WAPENDWA .JANA NILIKUWA MAHA LI LIKAPITISHWA HILI SWALI NA ALITAKIWA KILA MMJA AJIBU ANAVYOJUA SASA MIMI NILIJIBU HIVI JE WEWE Kaizer cacico Mtambuzi Mamndenyi SnowBall! Snowwhite HorsePower, Asprini dada gfsonwin charminglady BadiliTabia sweetllady The Boss king'ast Preta Tuko FirstLady1 MadameX ummu kulthum BAK ruttashobolwa @ruttashubanyuma Kongosho @arushaone BAGAH Teamocarmel platozoom Young Master MtotoSix

Taja vitu vitatu muhimu sana katika maisha yako

jibu langu mimi ni hili
  • MUNGU
  • FAMILIA YANGU
  • KAZI (inayoniwezesha kupata mahitaji yangu )/Biashara yangu.​
mimi hapo niliona eti ndio muhimu kwangu,lakini inaweza kuwa tofauti kidigo kwa MtotoSix yeye atasema et charminglady kisa amekaribia kumuoa na kikao cha mwosho kilikuwa jana ili kumhadaa huyu dada mzuri.sidhani kama atapinga hapa
,sijamtaja Bishanga maana muhimu kwake yeye ni 1.shamba2.kijiwe 3.kashata na kahawa
FUNGUKENI JE MIMI NIHAYO MIMI NI MUHIMU KWANGU WEWE JE ?
 
Mimi naheshimu angalizo (instructions)
Akili Mpwapwa yangu haijakomaa!
Ngoja wenye timamu waje!
 
we bwana Amsterdam huna maana... charminglady hana comparison hapo. yeye ana nafasi ya kipekee kabisa kwangu.

ila kwa haraka haraka...
1. God < im God fearin man
2. My both Families...kwetu na ukweni...
3. Nisipofanya kazi nna hakika Bishanga atamhonga mama watoto wangu mikungu ya banana, afu niishie kuwa mume *****

ila charminglady is beyond explaination
 
Last edited by a moderator:

nilisema kwa charminglady MtotoSix huchomoi haya bwana hongera na asante kwa jibu zuri
 
Last edited by a moderator:
Mimi vitu muhimu katika maisha yangu ni kama ifuatavyo;
  • Kwanza kabisa ni computer maana bila computer kwa kweli huu utaalamu wote nilionao ni sawa na bure. Sio siri hii kitu imeuteka moyo wangu kuliko hata mwanamke...huwezi amini lakini ndio ukweli halisi.
  • Kitu cha pili muhimu katika maisha yangu ni mama yangu mzazi maana bila yeye mimi nisingekuwepo.
  • Kitu cha tatu muhimu katika maisha yangu ni Mungu maana bila nguvu zake siwezi kufanya lolote.
 
haya Young Master hongera sana jibu zuri at the end nitatoa marks nahisi Mtambuzi na Asprin watapata 0
 
Last edited by a moderator:
ingawa hatujahalalishwa kuwa mwili mmoja rasmi tena mbele ya kadamnasi,but sisi tumeshajihalalishia. my huz MtotoSix amekwisha jibu. so hilo jibu ni la familia ya mr. & mrs to be MtotoSix. . .
 
Last edited by a moderator:
once u mention God kila kitu kina merge kwake...as to me aint nothing important but HIM,so the rest two zitablend in kiroho safi
 
Mimi vitu muhimu ktk Maisha yangu ni:

1. Mungu wangu.

2. Wazazi wangu na ndugu zangu.

3. Kipenzi changu cha moyo,lawyer ruttashobolwa.

4. Kazi na biashara zangu kwani ndizo zinazonivimbisha kichwa jijini Dsm.

5. Pombe na Anasa kwani huniliwaza pindi kipenzi changu achelewapo kurudi kazini.
 
6. 6x6

naomba nigelezeee majibu haya ya wangu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom