swali kwa watumiaji wa TTCL internet

LARRYHOVER

Member
May 9, 2011
29
1
Baada ya voda kutuzingua na unlimited yao kuona tunafaidi sana. Nataka hamia TTCL je naweza nunua line ya ttcl na kutumia kwenye modem yangu nliyo i flash?.. Je package zao zinakuaje? Na ofa zozote zilizopo currently i don kwn banjuka..... Etc.. Naomben ushauri kwa hili.
 
TTCL - Unlimited ya mwezi inaanzia 40,000 kwa mwezi unapata (spidi) 256KBps-shared mpaka 200,000 kwa mwezi unapata (spidi) 2MBps-shared.
Natumaini neno "shared" unalielewa vizuri kabisa hasa hasa ukizungumzia hawa ma ISP wetu.

Other option ni ile promo ya Banjuka, Shs 1,000 saa 12 asubuhi - 12 jioni, Shs 800 12 jioni - 3 usiku, na Shs 500 saa 3 -12 asubuhi.
Ni Unlimited download/upload, speed iko safi especially TTCL wakiwa hawana tatizo la mkonga kama la last 3 weeks, inafika mpaka 2MBps.

Kazi ni kwako.
 
Umetumwa nini wewe na hao TTCL kuwatangazia biashara yao! Lete habari muhimu sio hayo matangazo ya biashara.
 
TTCL - Unlimited ya mwezi inaanzia 40,000 kwa mwezi unapata (spidi) 256KBps-shared mpaka 200,000 kwa mwezi unapata (spidi) 2MBps-shared.
Natumaini neno "shared" unalielewa vizuri kabisa hasa hasa ukizungumzia hawa ma ISP wetu.

Other option ni ile promo ya Banjuka, Shs 1,000 saa 12 asubuhi - 12 jioni, Shs 800 12 jioni - 3 usiku, na Shs 500 saa 3 -12 asubuhi.
Ni Unlimited download/upload, speed iko safi especially TTCL wakiwa hawana tatizo la mkonga kama la last 3 weeks, inafika mpaka 2MBps.

Kazi ni kwako.

MIMI NIPO UNLIMITED 1MBps nalipa 110,000 download speed ni 30kbps hata kama uamke saa nane za usiku haifiki 40 natafuta dsl provider mwingine mwenye speed kubwa
 
humu ndani wengine nahci ni ttcl wenyewe, huyo mzungumzaji aliye sema speed haifiki 40KBps nahci anaongea ukweli kabisa maana bongo matangazo mazuri bt service mbaya
 
MIMI NIPO UNLIMITED 1MBps nalipa 110,000 download speed ni 30kbps hata kama uamke saa nane za usiku haifiki 40 natafuta dsl provider mwingine mwenye speed kubwa

Ok , ninategemea budget na matumizi yako , kama una matumizi makubwa na unangalia vidoes online, chukua TTCL Banjuka, hiyo ndio jibu ya mataizo yako speed nziri sana, mim nimezunguka kote nimeishia Banjuka , jaribu hiyo utaipenda.
 
ata mimi ninalipia 110000 wanasema 1mbps wakati speed yao inaenda 40kb/s mwisho pumbavu wizi wakubwa!!! Ttcl matapeli waongo kabisa yani connection ya dsl nzuri sijui nitapatia wapi?
 
<br />
<br />
acha hizo, hata banjuka speed ni myeyesho. Ebwana jaribu zantel maana kwao trafic jam ni ndogo na bando zao poa
 
ata mimi ninalipia 110000 wanasema 1mbps wakati speed yao inaenda 40kb/s mwisho pumbavu wizi wakubwa!!! Ttcl matapeli waongo kabisa yani connection ya dsl nzuri sijui nitapatia wapi?

Mkuu hata mimi natumia Banjuka iko vizuri ingawaje kuna mida spidi ni ndogo na kwa ufupi iko unlimited ila wameset kiasi kwamba kama uki download vitu vingi kwa maana ya Bytes huwa speed inashushwa
 
Back
Top Bottom