Swali kwa wataalamu wa JF (w/ume haswa)

ni hali inayowakuta watu ambao wanakua over-excited... inatokea kwa wote, wake kwa waume ingawa sio common sana

Zaidi kwa wanaume ni kile kipindi chetu.... kwa akina dada sina hakika
well said
 
Itabidi na mimi nimuulize vizuri inakuwaje ili na mimi niapply maana nasumbuliwa na upweke halafu "faranga" sina na nasikia siku hizi mapenzi bila cash hayaendi na ukimpenda mtu kama hana kitu usimwonyeshe.
gonga puchu wee mpemba
 
Hali ya kawaida sana.
duh kaka Jambazi hiyo avatar yako imeniacha hoi sana huyo jamaa inaonekana mwoga sana wa kipondo hastaili kuwa jambazi nadhani hapo atakuwa ameachia na uharo kabisa kama sio bao la stress:smile-big::smile-big:
 
eeh jaman wakat mi napika chai jana asubuhi nikaskia hali km iyo bas uyooooo mbio toi...!!!!!!
hivi kumbe na wanawake inawatokea? ila kwa wewe nadhani sio issue kama nayoongelea wewe nahisi ulikuwa unapika chai huku mkono mwingine unapapasa pango
 
hii inakuja nachulare wala hamna kuforce ila ina kaburudani

Sikilizeni, ili bao lije kunahitajika mkusanyiko wa mambo kama matatu hivi, kwanza joto la mwili kupanda hasa sehemu za siri ili mishipa itanuke, pili kunaitajika msukumo wa kasi wa damu ambao unachangiwa na mapigo ya moyo kuongezeka na tatu ni relaxation ya mwili hapo lazima upige bao.

Ndo maana wakati unafanya mtiani na inafika kwenye panic season na ndo dakika ya mwisho ya majeruhi joto na mapigo ya moyo huwa yapo juu sana na ukiambiwa 'stoop!' ndipo unapoamua kurelux wakati mapigo ya moyo na joto viko juu na unajikuta bao hilooooooo ninakuja lenyewe kwa raha zake.

Mmenisoma?
 
Story kama hii niliwah kuickia kwa mara ya kwanza toka kwa rafiki yangu,ilikuwa mwaka 2003,alikua akifanya pepa 2 ya PHYSICS,nilishndwa kumjibu kwakweli
 
Sikilizeni, ili bao lije kunahitajika mkusanyiko wa mambo kama matatu hivi, kwanza joto la mwili kupanda hasa sehemu za siri ili mishipa itanuke, pili kunaitajika msukumo wa kasi wa damu ambao unachangiwa na mapigo ya moyo kuongezeka na tatu ni relaxation ya mwili hapo lazima upige bao.

Ndo maana wakati unafanya mtiani na inafika kwenye panic season na ndo dakika ya mwisho ya majeruhi joto na mapigo ya moyo huwa yapo juu sana na ukiambiwa 'stoop!' ndipo unapoamua kurelux wakati mapigo ya moyo na joto viko juu na unajikuta bao hilooooooo ninakuja lenyewe kwa raha zake.

Mmenisoma?
wewe utakuwa ulikimbia biology maana umeongea ila sio kitaalam umevuta logic tu
 
hapo kwenye blue sikubaliani na wewe hamna mapicha yoyote yanayokuja kichwani maana kinachotokea ni kwamba mtu unakuwa busy na pepar tena unakuwa huna fikra zozote zaidi ya huo mtihani ila unajikuta unapiga bao, ningependa mtu je na maelekezo ya kisayansi zaidi

hata haya ni ya kisayansi, au sayansi gani unazungumzia? please specify

furthermore, hizo fikra zinatokea kwenye subconscious mind (kumbuka kuwa conscious mind huwa imeconcentrate na mtihani but suffers stress due to that exam and it seeks a release from that stress) na husababisha kuongezeka kwa hivyo vichocheo. zunguka dunia nzima hutakuta mwansayansi anakuambia kuwa you can ejaculate bila vichovheo kupanda na kutoa msukumo
 
Dah! mi kwnye mtihan w form3 nilikua nachora fimale reproductive system
 
mmmhhhh mambo ya kawaida tu haya..
mie niki muwaza tu mtu fido dido mmmmhh hata sichukui muda haah lol
 
eeh jaman wakat mi napika chai jana asubuhi nikaskia hali km iyo bas uyooooo mbio toi...!!!!!
Kwa assumptions za kawaida... u don't need women then... kila ukisikia kupata ahueni, fanya mtihani.... its fast and safer

Ha ha haaaa....mbavu zangu jamaniiiii
 
Sikilizeni, ili bao lije kunahitajika mkusanyiko wa mambo kama matatu hivi, kwanza joto la mwili kupanda hasa sehemu za siri ili mishipa itanuke, pili kunaitajika msukumo wa kasi wa damu ambao unachangiwa na mapigo ya moyo kuongezeka na tatu ni relaxation ya mwili hapo lazima upige bao.

Ndo maana wakati unafanya mtiani na inafika kwenye panic season na ndo dakika ya mwisho ya majeruhi joto na mapigo ya moyo huwa yapo juu sana na ukiambiwa 'stoop!' ndipo unapoamua kurelux wakati mapigo ya moyo na joto viko juu na unajikuta bao hilooooooo ninakuja lenyewe kwa raha zake.

Mmenisoma?

Baraza la wanaume!!
 
Nimesoma post ya yule dada ambaye akinyonyesha ana cum imenikumbusha kitu kilinitokea miaka mingi sana iliyopita

Miaka ya nyuma sana wakati nasoma kidato cha nne niliwahi kukutwa na tatizo ambalo mpk leo nimekaa nalo kama siri, lakini kwa kuwa hapa kuna wataalam wengi ngoja niwamegee tujadili

Siku nilipokuwa nafanya mtihani wa mwisho wa taifa wa kidato cha nne wa Book Keeping kuna swali lilikataa ku-balance (wahasibu hapa mtanielewa vizuri) sasa wakati nachekecha akili na kuangalia wapi nimekosea nilisikia hali flani ya raha hivi mpaka nikapiga bao ndani ya chumba cha mtihani yaani ilikuwa na ajabu sana ila bahati nzuri waliokaa jirani walikuwa busy na mtihani hawakugundua ingawa nilipatwa na hali ya ajabu sana

ilibidi niombe ruhusa kwenda chooni kujiweka sawa ndio nikarudi kwenye paper na kuendelea (nilipata "A" mwisho wa siku)

Swali ni kwamba je hiyo ni hali ya kawaida au kuna mtu mwingine imeshamtokea akapiga bao katika kipindi cha stress kama hicho?. Naomba ushauri kutoka kwa wanaume au wanawake wenye taaluma na uzoefu wa mambo ya afya ya uzazi

Nisha sikia hiyo kitu, inawatokea wengi hasa kwenye mitihani, ila mi sijawahi tokewa..
 
Miye hii kitu imeshawahi kunitokea pia mara moja University (majuu) kwenye final exam niliondoka na A+ na kumuachia Mwalimu marks nne tu. Sikwenda kujisafisha maana nilikuwa nakimbizana na time nilifanya hivyo baada ya kumaliza mtihani. Nilishangaa sana lakini baadaye baada ya kuzungumza na marafiki wakaniambia huwa inawatokea baadhi ya watu na mara nyingi kwenye mitihani.

Somo lile lilikuwa ni somo gumu sana katika hiyo field yaani ni gumzo la Wanafunzi na mtihani huo Mwalimu alitutisha sana kwamba mtihani utakuwa mgumu sana. Hivyo nilijiandaa kuliko kawaida. Baada ya kuruhusiwa kuanza mtihani nilizisoma zile instructions ili kuona kama maswali yote ni mandatory au vinginevyo na kuyapitia maswali yote kwa haraka haraka ili kuanza na yale ambayo ni rahisi. Baada ya kuyapitia maswali yote nikajisemea kimoyo moyo nikitulia hapa naondoka na A+ bila wasiwasi nikaomba Mungu na kuanza kucheza na yale maswali. Sasa msimamizi akatwambia, "You have 45 minutes to go" basi nikasikia hali ambayo si ya kawaida kule nyetini, lakini nikaendelea na mtihani akatamka tena hivyo ilivyobaki nusu saa.

Alipotangaza tena zimebaki dakika 20 nilikuwa namalizia swali la sita na kuanza swali la saba ambalo lilikuwa fupi lakini nikawa na wasiwasi kwamba naweza nisiwe na muda wa kutosha kulifanya na hivyo kuikosa A+ niliyoidhamiria. Basi aliposema tu, "You have 20 minutes to go" miye nikawa dunia nyingine kabisa lakini ikabidi niendelee kupambana na ile paper kabla ya kwenda kufanya usafi.
 
Nimesoma post ya yule dada ambaye akinyonyesha ana cum imenikumbusha kitu kilinitokea miaka mingi sana iliyopita

Miaka ya nyuma sana wakati nasoma kidato cha nne niliwahi kukutwa na tatizo ambalo mpk leo nimekaa nalo kama siri, lakini kwa kuwa hapa kuna wataalam wengi ngoja niwamegee tujadili

Siku nilipokuwa nafanya mtihani wa mwisho wa taifa wa kidato cha nne wa Book Keeping kuna swali lilikataa ku-balance (wahasibu hapa mtanielewa vizuri) sasa wakati nachekecha akili na kuangalia wapi nimekosea nilisikia hali flani ya raha hivi mpaka nikapiga bao ndani ya chumba cha mtihani yaani ilikuwa na ajabu sana ila bahati nzuri waliokaa jirani walikuwa busy na mtihani hawakugundua ingawa nilipatwa na hali ya ajabu sana

ilibidi niombe ruhusa kwenda chooni kujiweka sawa ndio nikarudi kwenye paper na kuendelea (nilipata "A" mwisho wa siku)

Swali ni kwamba je hiyo ni hali ya kawaida au kuna mtu mwingine imeshamtokea akapiga bao katika kipindi cha stress kama hicho?. Naomba ushauri kutoka kwa wanaume au wanawake wenye taaluma na uzoefu wa mambo ya afya ya uzazi

Funzadume,

Hiki ni kitu cha kawaida sana. Hakijawahi kunitokea ila kuna washikaji wengi sana walipatwa na tatizo hili wakati wanafanya mitihani ya f.2, 4 au 6. Ingawa sikuwahi kusikia mtu aliyepatwa na tatizo hili college, nadhani wapo wengi ila wanaficha. Nimejaribu kutafuta kwenye chanzo chake na kukutana na maelezo hayo hapo chini,

Stress and being too excited are very common problems. They are also very closely related.

Your body reacts in a very specific way under these circumstances in what is known as a "fight or flight" response.

Your blood pressure rises, adrenaline and blood sugar increase to provide more energy, blood vessels to less important areas (your genitals, for instance) are cut off to bring more of the blood into your arms and legs, digestion shuts down, breathing increases, and your heart pumps faster. Your brain, in reaction to your circumstances, brings all of these physical changes about by overstimulating the sympathetic nervous system.

This is great when you're in danger or need to complete a task. However, it's also the cause of your premature ejaculation.

The human body's urge to orgasm is prompted by your sympathetic nervous system. Usually, it takes the physical touching and mental stimulation from sex to build this impulse to a point where you can orgasm. In your case, you've already stimulated the sympathetic long before sex begins.

Source:Stress and Being Too Excited Makes Me Ejaculate in Five Minutes
 
Jamaa yangu alikuwa ananiambia kuwa hizo mambo zilikuwa zinamtokea mi nambishia, sasa nimeamini kuwa ni kweli. Mi ilikuwa inanitokea hali flani ya maji tumboni (hali nzuri nzuri ivi), hasa pale napoambiwa bado dkk chache pepa kuisha na maswali kibao yamebaki ambayo ningeweza kukokotoa.
 
Back
Top Bottom