Swali kwa Wanawake

unalifuta vumbi halafu uanendelea kulishughulikia... au vepe?

...vumbi linaletesha mafua, kifua na hata pumu! shida yote ya nini hiyo sasa! ...acha 'ende-sake' tu aisee!
 
...vumbi linaletesha mafua, kifua na hata pumu! shida yote ya nini hiyo sasa! ...acha 'ende-sake' tu aisee!

...msee unajua ile kitu sometimes ni kosa ya jinai kuiwacha itokomee.
unajivisha mabomu halafu unajilipua nayo au vepe?
 
...msee unajua ile kitu sometimes ni kosa ya jinai kuiwacha itokomee.
unajivisha mabomu halafu unajilipua nayo au vepe?

...:D:D:D dah, mazee umeikomalia kweli ile kitu... upo tayari kujitolea mhanga nayo? ha ha haa... nishajisemea; 'sizitaki mbichi hizo!'
 
kama shubiri ni tamu asali ina ladha gani?
kama ile kitu ipo kwenye uwezo wa meno kutafuna wacha iliwe tu
 
aaaahh, bwana we mambo mengine tafuta magazeti ya udaku usituharibie kazi zetu sisi wengine ni waadilifu na tunafuata maadili yetu ya kazi na tuna muogopa mungu, hatufanyagi upuzi kama huo,
 
...mnh, :(

Siri nyingine zinatakiwa zibakie huko huko kwenye Gynaecological examination... mtakuja kataa madakitari buree, wake zenu wabakie tasa!

...halafu sio lazima awe rika lake!

Personally na Very bad experience ya kimada fulani, katika kukuru kakara zake za kutoa mimba (haikuwa yangu!), akaangukia mikononi mwa huyo 'Gynaecologist' tena wala jamaa hakuwa Qualified,..matokeo yake ikawa kula nikule weee...

sijamsamehe mpaka leo huyo Binti na huyo Dakitari wake!
Pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom