Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

du! wewe bwana nakuogopa.sifa zako humu JF??????! Kila mtu anakutaja kuwa tukuogope.Kama nadanganya muulize Sinkala.

Hao wanaosema ni wabaya wangu just ignore them.
Kama mimi ni mbaya just-PM Sinkala atakwambia au muulize Geoff au mwone Nyamayao au muulize George_Porjie wananizushia tu.
 
mkuu bana, dah!!
icon10.gif

vp mbona umeng'ang'ania sana hapo??
hahahah!
hapo pananihusu.

nb:we vipi mbona sikuoni kwa mtitu?
 
Yeah mkuu hii ni kweli na wanawake wengi wakisha tolewa bikra na huyo mwanaume wanajikuta wanakuja kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na yule aliye mfundisha kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi. Anayebisha na abishe nani hapa kaoa/kaolewa na mtu aliye mbikiri/bikiriwa?

Mimi nimeoa mwanamke niliyembikiri mwenyewe.
 
Hamna sababu ya msingi, ulimbukeni wao tu, wanafuata wenye 'experience' bila kujali kapita kwa wangapi maana waliowabikiri huwa wanafunzi wa mambo!!!
 
Back
Top Bottom