Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

Hii kitu haina millage bwana .... huwezi kujua imetumika kiasi gani sometimes ni use or reconditioned. hata nyie ---- ni balaa tupu ingekuwa ni mfutio wengine ungekuta vimeisha ....
 
Hahahaha yeah mkuu hawa wanawake we acha tu sasa pindi anapolinganisha ufanisi mzee inakuwa mbaya zaidi utakuta kumbe lihawala lake lipo Tanga wewe na wife wako mpo Dar mzee trip za kikazi lazima wakutane na hawala wakumbushie au wife anafunga safari mpaka alipo jamaa.



Yeah iwa wanapenda kubadilisha radha tofauti tofauti kama ulimuumiza basi atatafuta radha tamu pindi wanapo pata radha tamu kuliko awali ndo wanawehuka zaidi.


kwa mtindo huu bora kuoa used ili wewe ndio uwe radha mbadala kwa mke kuliko kuoa bikira na baadaye atafute nje kupata radha nyingine!
 
Yeah ndo maana mm nakwambia ukibikiri mtu basi huyo kwa walio wengi hutamwoa au hutaolewa nae vile vile mwanamke akimbikiri mwanaume inakuwa hivyo hivyo atakuja kuoa mtu mwingine ndo maisha hayo.

Nadhani kuna ukweli kiasi fulani kwamba waliowengi hawaoi au hawaolewi na wale walio wabikiri. Lakini kuna wachache wameoa mke aliyembikiri. Mmoja wao ni mdogo wangu aliyetuthibitishia hivyo nasi tumeamini usemi wake.
 
Hii kitu haina millage bwana .... huwezi kujua imetumika kiasi gani sometimes ni use or reconditioned. hata nyie ---- ni balaa tupu ingekuwa ni [U]mfutio wengine ungekuta vimeisha ....[/U]


Haswaaaaaa!! hapo umenea kabisa.
 
AMBAYE HAJAMEGA DEMU ZAIDI YA MMOJA, na KAOA HUYO ALIYEKUTANA NAYE MARA YA KWANZA, AANDIKE JINA HAPA.
1. Chamtu...
 
Wanawake wanatupiwa lawama wakati wote kwa kuwa ule mshahara wa kuvunja amri ya sita unaonekana physically kwao kwa ile mimba.Imetokea mara nyingi uchumba umevunjika kwa msukumo wa familia au marafiki eti kwa vile binti alikuwa na historia ya kuwa na wanaume wengi wakati huohuo huyo mwanaume siyo clean kihivyo.
Mfano mzuri upo kwa madenti wa kike,huwa wanafukuzwa shuleni na hata nyumbani wakipata mimba na wakati mwanaume aliyempa mimba ametulia tu na ndio kwanza anapongezwa eti kidume cha mbegu.mfano mwingine ni pale inapotokea mwanaume amepata safari ya kimasomo nje ,akifika huko anabadilisha wanawake atakavyo,na itokee mkewe akajaribu hata mara moja na kupanda mimba utasikia kasheshe yake.
Na hata hiyo bikra zamani katika makabila walikuwa wanaangalia kwa binti tu na sio mwanaume.Yani wanakuwekea mashangazi hiyo siku ya kuolewa wakukague usipokutwa nayo ni fedheha kwa familia yako yote na mwanaume hawamuangalii kama na yeye ni bikra.
kwa hayo huoni kuwa hakuna balance hapo katika hilo swala?Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba nao ingekuwa rahisi kuwakamata wasikane pale wanapoharibu.

Ahsante kwa maelezo mazuri, sasa turudi kwenye mada. Aliyekubikiri wewe umemsahau? Je umeolewa / una mpango wa kuolewa naye. Kama siyo, Je ukikutana naye akataka akumege tena utamkatalia?
 
Mmoja wao ni mdogo wangu aliyetuthibitishia hivyo nasi tumeamini usemi wake.

Mkuu aliwaonyesha na shuka au mlimwamini tu kwa vile kasema.
Maana kuna jamaa angu alisema hivyo hivyo nikamuuliza umejuaje akadai wkt anamega mlimbwende alikuwa analia nikamwambia oooh umeliwa.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri, sasa turudi kwenye mada. Aliyekubikiri wewe umemsahau? Je umeolewa / una mpango wa kuolewa naye. Kama siyo, Je ukikutana naye akataka akumege tena utamkatalia?

Kama hautamind nitaku-PM majibu ya maswali yako.Give me time
 
Teh teh teh unataka ukajaribu kama sealed au used kwi kwi kwi haya bana kikubwa ni policy tu kisha tunaingia uwanjani au sio mkuu.?

Tatizo mshosti mwenyewe anaelekea mnoko kiaina. Si umeona makali yake?
 
du! wewe bwana nakuogopa.sifa zako humu JF??????! Kila mtu anakutaja kuwa tukuogope.Kama nadanganya muulize Sinkala.

Si umeona mkuu Fidel? Unaogopwa humu ndani. Tuachie wenye sura za watakatifu tujaribu bahati zetu. Nikibahatisha afu ikawa sealed ntatangaza ndoa.
 
Back
Top Bottom