swali kwa wanawake II

Du! umenishtua,anyway siri yako mkuu 'sina uhakika kama nimewahi kubanjuka nje ya mahusiano yangu'...usimwambie mtu pls..

hope umenisoma mziwanda!

nimekusoma kiaina ila kama unadhani huna uhakika, basi hiyo ni kali! pia nadhani umemsoma bubu
 
Ha ha ha enh!!! Binadamu hatuko perfect ati!!!! Huteleza hapa na pale katika maamuzi yetu mbali mbali na baadaye hujirudi. Siku hizi kuna hizi zinaitwa open marriage. Mimi anakuwa na njemba zake kwa nje na jamaa anakuwa na nyumba zake ndogo. Pia wanaweza kabisa kuwa wanafahamiana.

Wanaounga mkono hizi open marriage wanadai binadamu kama wanyama hatukuumbwa kuwa na mpenzi mmoja tu kwa miaka chungu nzima. Wanadai tunatakiwa tuexperience vionjo tofauti vilivyopo miongoni mwetu wanadamu na pia ni adhabu kubwa kuwa na mpenzi mmoja hata kwa miaka 3 achilia mbali miaka 35 au zaidi. Wanadai dini ndiyo ilileta haya mambo ya kupata vionjo mbali yaonekane kama dhambi na kama mnavyojua miaka ya karibuni wengi wameanza kuyapinga mafundisho ya dini wazi wazi tena bila woga. Mtazunguka butcher zote lakini nyama ni ile ile...Muulize aliyekula nyama ya kongwa kama nyama zote zina ladha ile ile :)

of course kupata ladha tofauti nayo inamata kimtindo lakini wapi maana ya kiapo cha ndoa (kwa wakristu)? naamini ukiwa na mwanamke ambaye hisia zako hazina shaka juu yake nadhani hutakuwa na haja ya kufanya nje. hofu yangu kubwa ni kwamba watu wanaingia kwenye mahusiano kutokana zaidi na mashinikizo- ya fedha, umaarufu, hofu, mkumbo, n.k. sasa usitegemee mtu kama huyu akawa mwaminifu hata kidogo kwani shida yake haikuwa kufuata ngono ndani ya mahusiano bali kukidhi mojawapo ya haja ya mashinikizo, na wengi wao katika hawa ni WANAWAKE!
 
Mimi nafikiri mara nyingi mawazo na hisia zetu kwenye mahusiano, yanatawaliwa zaidi na experience ya mtu binafsi (kwamba amekutwa na mkasa fulani) au hata experience ya jamii inayomzunguka. Mfano rahisi ni mtu aliyelelewa kwenye familia ambayo wazazi walitengana toka yeye mhusika akiwa mdogo, anaweza akawa na mawazo ya kutokuoa au kuolewa kwa hofu ya historia kujirudia.

Mimi naunga mkono hoja ya mchangiaji aliyesema bado suala la mdada kupindukia pembeni ni hulka ya mtu mwenyewe. Ninaweza kuthubutu kusema akina mama/dada wana uvumilivu wa hali ya juu (kila kaka najua mtakuwa wagumu kuamini hili) kushinda akina baba. Mara ngapi zimetokea scenario za baba kukutwa (manake wanadai wao hawafumaniwi bali wanakutwa) na outcome ikawa ni baba kusamehewa, lakini that is NOT THE CASE IF THE SCENARIO IS REVERSED! Sasa, mnachosahau akina baba ni kuwa we are all humans and we have the same feelings, kama unafikiri shubiri ni chungu we feel the same taste, kwetu haijawekwa sukari!

I am very sure kuwa huyo mpindukaji hajawa full committed kwa mwenzie, honestly, when mdada akijicommit she means it.

Kwa hiyo wala usijenge hofu ya mwenzio kukosa uaminifu wakati wewe mwenyewe hujajijengea taswira ya huo uaminifu wenyewe. Tujaribu kujenga mahusiano ambayo yanatawaliwa zaidi na mawasiliano. Mimi huwa najitia ujasiri wa hali ya juu wa kutokugusa simu ya mwenzangu, lakini my cellphone is always popote kiasi kwamba kama atakuwa na kutaka kuipekua basi anaweza akafanya hivyo, and I don't feel different coz I have nothing to hide. Sasa ona yake anavyohangaika nayo, yaani haimtoki usoni...unabaki kuchekea tumboni...
 
Mie Ndume.
Sijui mtanielewaje?
Kila unapoongea na wanawake kuhusu kutoka nje ya ndoa, takribani kila mwanamke anaapa tena kwa kupiga vifua kwamba yeye hajawahi kutoka nje ya ndoa na hafanyi na hatarajii. Nilitamani wewe Nyamayao, Borntown na Mziwanda niwaone uso wenu (facial expression) unasemaje wakati mnasema hayo mliyosema hapo juu. 'Trust no body'.
 
Mimi nafikiri mara nyingi mawazo na hisia zetu kwenye mahusiano, yanatawaliwa zaidi na experience ya mtu binafsi (kwamba amekutwa na mkasa fulani) au hata experience ya jamii inayomzunguka. Mfano rahisi ni mtu aliyelelewa kwenye familia ambayo wazazi walitengana toka yeye mhusika akiwa mdogo, anaweza akawa na mawazo ya kutokuoa au kuolewa kwa hofu ya historia kujirudia.

Mimi naunga mkono hoja ya mchangiaji aliyesema bado suala la mdada kupindukia pembeni ni hulka ya mtu mwenyewe. Ninaweza kuthubutu kusema akina mama/dada wana uvumilivu wa hali ya juu (kila kaka najua mtakuwa wagumu kuamini hili) kushinda akina baba. Mara ngapi zimetokea scenario za baba kukutwa (manake wanadai wao hawafumaniwi bali wanakutwa) na outcome ikawa ni baba kusamehewa, lakini that is NOT THE CASE IF THE SCENARIO IS REVERSED! Sasa, mnachosahau akina baba ni kuwa we are all humans and we have the same feelings, kama unafikiri shubiri ni chungu we feel the same taste, kwetu haijawekwa sukari!

I am very sure kuwa huyo mpindukaji hajawa full committed kwa mwenzie, honestly, when mdada akijicommit she means it.

Kwa hiyo wala usijenge hofu ya mwenzio kukosa uaminifu wakati wewe mwenyewe hujajijengea taswira ya huo uaminifu wenyewe. Tujaribu kujenga mahusiano ambayo yanatawaliwa zaidi na mawasiliano. Mimi huwa najitia ujasiri wa hali ya juu wa kutokugusa simu ya mwenzangu, lakini my cellphone is always popote kiasi kwamba kama atakuwa na kutaka kuipekua basi anaweza akafanya hivyo, and I don't feel different coz I have nothing to hide. Sasa ona yake anavyohangaika nayo, yaani haimtoki usoni...unabaki kuchekea tumboni...

DINA,
You are partly right..but. ..waaminifu walikuwa mama zetu..hata kama dingi amekwenda kutafuta mali akakaa huko miaka mitano..alikuwa anakuta mama yupo anatunza mji na watoto. It was just splendid.

Mfano: Zamani ndoa zilikuwa zinadumu sana kwa sababu baba ndo alikuwa breadwinner. Kwa hiyo hata kama akihamishwa kituo cha kazi atafuatana na mama na watoto. Siku hizi mwanamke kapata emancipation (hiki kwangu ni kitu kizuri-lakini kinakuja na gharama zake vile vile). Leo ukitaka kuwa na mpenzi (ambaye unataka aje agraduate awe mke siku za usoni) lazima muulizane vipi career zenu inakuwaje? mfano dada ni IT expert yupo (Benk ya mafisadi BOT). Wewe ni fani nyingine..ukihamishiwa Rukwa au Ngara....you have to face it..nani amfuate mwingine (ofcourse mnaweza kudiscuss-but "consensus" is not automatic as many of us tend to think). Otherwise abaki Dar mtakuwa mnatembeleana.

Na hapo mgogoro ndo unaanza..mwanaume kapata kazi huko na wewe uko huku. And to me hili halikwepeki..mdada wa watu kasoma mpaka University..leo umwambie awe mama wa nyumbani? Its unfair by all means! The same applies kwa mwanaume...

Make no mistake wanaume wengi wa kiafrika hatujawa tayari-atleast not for now, kukaa nyumbani eti mwanamke afanye kazi....kwamba ataihudumia familia na mwanaume alee watoto! Bado tuko mbali sana kwa hilo..hata kama mwanamke angepata kazi gani sijui...(ofcourse kuna wachache wapo..ila ni negligible).

Harafu hii assumption ya "uaminifu" mi naona ni bullshit! binadamu we re inherently selfish. Kikubwa tutafute safeguard za kuweza kulinda hizi ndoa..mfano serikali kuadopt sera mahsusi kuwasaidia wafanyakazi wake (ofcourse here the danger is: the policy may be abused-but thats the price to pay). Ndo maana kuna tofauti kubwa sana ya sisi waafrika na wazungu..sisi kila kitu utasikia..ni "mapenzi ya Mungu"..au "tunamwachia Mungu". You cant hear that in the western world...watu wanakuja na concrete solutions.

Personally nina marafiki wanafanya kazi kwenye hizi international organizations...wengi ndoa zimevunjika! Imagine unakaa Darfur baba yupo Dar, au uko Peshawar huko Pakistan..mama yupo sehemu nyingine....pata picha yake..well "ni kumwachia Mungu" but its tough.

Uaminifu wa siku hizi unakosekana lakini inachangiwa na vitu vingi sana. Ndo maana as we move forward..Ndoa zinakosa ile flavour yake..as it used to be. Na dunia imekuwa survival for fittest. Watu wanaogopa kukaa bila kazi..kukaa bila security.. career comes first mengine yanafuata.

Sijui kipi kifanyike, lakini naona kabisa "real meaning" ya marriage as we used to know it..is losing its stature among the society. Money has become everything! Though we chase it....we never see enough of it. Sad, but true.
 
Mimi nafikiri mara nyingi mawazo na hisia zetu kwenye mahusiano, yanatawaliwa zaidi na experience ya mtu binafsi (kwamba amekutwa na mkasa fulani) au hata experience ya jamii inayomzunguka. Mfano rahisi ni mtu aliyelelewa kwenye familia ambayo wazazi walitengana toka yeye mhusika akiwa mdogo, anaweza akawa na mawazo ya kutokuoa au kuolewa kwa hofu ya historia kujirudia.

Mimi naunga mkono hoja ya mchangiaji aliyesema bado suala la mdada kupindukia pembeni ni hulka ya mtu mwenyewe. Ninaweza kuthubutu kusema akina mama/dada wana uvumilivu wa hali ya juu (kila kaka najua mtakuwa wagumu kuamini hili) kushinda akina baba. Mara ngapi zimetokea scenario za baba kukutwa (manake wanadai wao hawafumaniwi bali wanakutwa) na outcome ikawa ni baba kusamehewa, lakini that is NOT THE CASE IF THE SCENARIO IS REVERSED! Sasa, mnachosahau akina baba ni kuwa we are all humans and we have the same feelings, kama unafikiri shubiri ni chungu we feel the same taste, kwetu haijawekwa sukari!
I am very sure kuwa huyo mpindukaji hajawa full committed kwa mwenzie, honestly, when mdada akijicommit she means it.

Kwa hiyo wala usijenge hofu ya mwenzio kukosa uaminifu wakati wewe mwenyewe hujajijengea taswira ya huo uaminifu wenyewe. Tujaribu kujenga mahusiano ambayo yanatawaliwa zaidi na mawasiliano. Mimi huwa najitia ujasiri wa hali ya juu wa kutokugusa simu ya mwenzangu, lakini my cellphone is always popote kiasi kwamba kama atakuwa na kutaka kuipekua basi anaweza akafanya hivyo, and I don't feel different coz I have nothing to hide. Sasa ona yake anavyohangaika nayo, yaani haimtoki usoni...unabaki kuchekea tumboni...

sasa hii kali! akina baba wanafumaniwa wakiwa na viumbe gani kama si wanawake? it has been said, 'hell hath no furry like a woman scorned' Huu usemi si mdogo aisee. fikiri hell, then iwe dhaifu kuliko mwanamke aliyefanyiwa kadhia. men are always careless kwani anajua hata akikutwa, yataisha tu. ila mwanamke anatamani 'kutoka' lakini anajua shuruba yake pindi ikijulikana, so she makes a calculated move with no tails behind. si ndio maana tunaambiwa asilimia zaidi ya 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali? unaweza kujibu hili? BADO SIAMINI KUWA MWANAMKE NI MTULIVU KIASI HICHO.
 
Nakubaliana na wewe mia ya mia maana hao wanaume wanaofumaniwa wanakutwa wakiwa na wanawake, kwa hiyo wahusika bado ni makundi yaleyale. Wote wazinzi tu.
 
sasa hii kali! akina baba wanafumaniwa wakiwa na viumbe gani kama si wanawake? it has been said, 'hell hath no furry like a woman scorned' Huu usemi si mdogo aisee. fikiri hell, then iwe dhaifu kuliko mwanamke aliyefanyiwa kadhia. men are always careless kwani anajua hata akikutwa, yataisha tu. ila mwanamke anatamani 'kutoka' lakini anajua shuruba yake pindi ikijulikana, so she makes a calculated move with no tails behind. si ndio maana tunaambiwa asilimia zaidi ya 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali? unaweza kujibu hili? BADO SIAMINI KUWA MWANAMKE NI MTULIVU KIASI HICHO.

BADO PIA MWANAUME HAWEZI KUJIINGIZA KWENYE KUNDI LA UTULIVU KIVILEEEE! Nitashindwa kujibu swali lako moja kwa moja la zaidi ya asilimia 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali, kwa kuwa kwanza I don't believe on the statistics ulizotoa, in short upande wangu mimi naona asilimia ina walakini. Lakini hii haipelekei mimi kukataa kuwa case hizi hazipo, kwani ni kweli zipo. Ndio maana nikasema ni suala la commitment, kama huyo mdada hajajitoa kwako kilicho hayo yanaweza kutokea. Mind you, sijakataa kuwa hakuna wadada/wamama wanao-betray watu wao, wapo. Tena shukuru ukipata huyo mwenye calculated moves with no trails. Na bado siamini kama mwanamke will just tamani 'kutoka', somewhere down the line lazima pana shida...
 
bado pia mwanaume hawezi kujiingiza kwenye kundi la utulivu kivileeee! Nitashindwa kujibu swali lako moja kwa moja la zaidi ya asilimia 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali, kwa kuwa kwanza i don't believe on the statistics ulizotoa, in short upande wangu mimi naona asilimia ina walakini. Lakini hii haipelekei mimi kukataa kuwa case hizi hazipo, kwani ni kweli zipo. Ndio maana nikasema ni suala la commitment, kama huyo mdada hajajitoa kwako kilicho hayo yanaweza kutokea. Mind you, sijakataa kuwa hakuna wadada/wamama wanao-betray watu wao, wapo. Tena shukuru ukipata huyo mwenye calculated moves with no trails. Na bado siamini kama mwanamke will just tamani 'kutoka', somewhere down the line lazima pana shida...

naomba dada dina usome thread ya babylon inayohusu udanganyifu wa mapenzi ndani na nje ya ndoa. Nadhani utapata majibu
 
Wanawake kutoka nje ya ndoa/relationship na kumegwa nje inachangiwa na mambo mengi mno ikiwemo hulka, tamaa ya mambo makubwa (kuoenda gari la kifahari, pamba na simu kali), husband/BF kusafiri mbali kwa muda mrefu, company (marafiki wa kike), service anayopata ndani kuwa hafifu (kabao kamoja ka faster na ka kichovu then ndo mpaka kesho tena), kupenda vya bure bure (offer za bia) etc etc etc.

Ni ngumu sana kulidhibiti hili na mkeo/GF wako anaweza kutoka nje muda na saa yoyote based on various reasons, hata kama anakupenda vipi.

Ni kumwomba mungu tu na kuendelea ku-mtrust kwani hakuna mwanamke anayechungika kama keshaamua kufanya mambo.

Kama kuna mwanamke humu aliyewahu kumegwa nje ya uhusiano wake (hata mara moja), namuomba atumwagie hapa sababu kuu iliyomsukuma kufanya hivyo
 
mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.[/QUOT

kuna kitu wanaume wanaita mvutio unaotokana na mwanamke sasa kama msichana hana mvutio huo ,inakuwa ni vigumu kupata mtu wa kumsha wishi kimapenzi.
 
mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.

kuna kitu wanaume wanaita mvutio unaotokana na mwanamke sasa kama msichana hana mvutio huo ,inakuwa ni vigumu kupata mtu wa kumsha wishi kimapenzi.

...mnh!? :( natamani kusema; 'akutukanaye,...!', lakini huenda ni macho yangu tu...
 
mimi ni kidume samahani kama nachezea uwanja siyo.
unajua sehemu ya kike ni kama sahani ya mama lishe ambapo ukilia msosi inaoshwa halafu anapakuliwa mwengine anakula and so forth, hivyo kuwa mpole kwa kuwa wanawake karibu wengi ni mama lishe na siyo malaya.
pili labda uamue kuifungia sahani kabatini uwe unailia peke yako pekee ambapo nayo ni ngumu. mwache mwanamke ajichunge mwenyewe ili awe mwaminifu wala usijitie sungusungu.
cha msingi peleka mapigo muafaka katika tendo atapagawa tu

Kimjini mjini tunaita round about, where everyone keeps left, hivyo hakuna kukwaruzana. Then kwa vile kwenye roundabout hakuna mtu ana-tally ni magari mangapi yamepita, then wakati la kwako linapita unajisikia fresh tu!!!!!!!!!
 
Last edited:
Kutrastiana kupo ila kwa era hii sexualization na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani (particularly Africa) via AIDS, lazima tuwe makini. mbona wazee wetu enzi hizo akirudi nyumbani kwake huwa anajifaragua nyuma ya nyumba yake na kujifanya kumwita mkewe ili tu kama kulikuwa na dume ndani liweze kuchomoka? ingekuwa hakuna maugonjwa igekuwa nafuu kwa sana, ila mwanamke aliyezoea kukandamizwa na mumewe kavukavu akienda nje huwa anapenda kuusikilizia utamu pia.
 
katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.
Come to think of it...nimeshindwa kuelewa kwa maana ingekuwa kweli basi yafuatayo yasingefanyika
#1. Wanaume wangeacha kutongoza maana kwa vile hawapendi kushea- probability kuwa unayemtongoza ana mwenyewe au alishawahi kuwa na mtu ni kubwa - na kwa vile hampendi basi mnatunziana heshima na hamtapenda kuendeana kinyume na imani yenu.
#2. Wanaume wasingeenda kwenye brothels au kuchukua changudoa maana hao ndiyo kabisaaaaaaa hawana cha msalie mtu - ni bandika bandua tu na hii siyo siri
#3. wanaume wasingetongoza wake/wapenzi wa marafiki zao achilia mbali wake/wapenzi wa watu wasiowajua.
Ushauri - kama ni kweli hampendi kushea basi fanye a pact kati ya nyie wenyewe ili kushea huko kutokomee maana kupo na ni kitu hampendi.
 
nadhani solution ni tego tu!
Tego kama na wewe hutangitangi... kama wanaume wote wakitumia tego basi kuna siku utabebwa na wheel barrow upelekwe kuteguliwa na itakuwa aibu kwako na wale wote wanaokupenda.( Nimesema wheel barrow kwa sababu ya kisa nilichowahi kusimuliwa ambapo wahusika mwanamme na mwanamke ilibidi wabebwe kwenye mkokoteni/wheelbarrow kupelekwa hospitali - nadhani huko ilikotokea hakuna gari!)
 
nimecheka mpaka machozi , we fidel wewe ucnitie ubaya!

hahahaha haya bana hivi ukionana na aliye kuzindua akasema mkumbushie utamtosa mwenzio??? au wewe huta taka mkumbushie na mwenzio aliyekufundisha maswala ya kikubwa?
 
Tego kama na wewe hutangitangi... kama wanaume wote wakitumia tego basi kuna siku utabebwa na wheel barrow upelekwe kuteguliwa na itakuwa aibu kwako na wale wote wanaokupenda.( Nimesema wheel barrow kwa sababu ya kisa nilichowahi kusimuliwa ambapo wahusika mwanamme na mwanamke ilibidi wabebwe kwenye mkokoteni/wheelbarrow kupelekwa hospitali - nadhani huko ilikotokea hakuna gari!)

Hahahaha hii imetokea Njombe hapo mke wa tajiri mmoja ilikuwa aibu jamaa alitengeneza akasafiri kuja Dar mke kama kawa kutoka nje na kismart boy si wakanasa hakuna mashine kutoka wakawa wameng'ang'aniana ilikuwa aibu walibebwa na ambulance mpaka Kibena lakini ilishindikana kuwaachanisha ilibidi wasubili jamaa arudi awatenganishe aibu WOS mambo yapo haya.
 
Back
Top Bottom