Hivi kwanini nyinyi wanaume mnaona kuwa ni sawa nyinyi kuchepuka nje ya ndoa na mngependa wake zenu wawasamehe kama ikikotea limebumburuka, ila mnakuwa wagumu sana kusamehe ikitokea my waifu wenu amechepuka?
Kwani mnadhani sisi huwa hatuumii? yale maumivu mnayoyasikia nyinyi na sisi huwa tunasikia kama hayo hayo kiasi hichohicho.
Maana nimegundua hata kama msela ni kiwembe vipi akisikia hata mmoja wa mademu wake kamegwa ana-mind, why mnasahau kuwa na nyinyi mna mega sana?