Swali kwa wanaume...

ukianza kuombwa hicho kitu maana mahusiano yanaishia hapo kwani sio ustaarabu wala utu
:alien:
 
Mwambie asiingize agusishe mlangoni tu aonje joto

kwani ina mabega ile!!? dadangu usije jaribu huu ufirauni,badala ya kukupenda zaidi,ukimpa tu ndo utampoteza mazima,na pamoja nae utapoteza heshima na utu wako na zaidi sana afya yako.hivi inakuwaje hadi unaomba hiyo mambo!?dah,kweli Mungu anatuvumilia sana.
 
Mheshimu mwenzio, ila heshima hiyo ina mipaka yake. usikubali kugeuzwa nyuma.kwani mbele hapatoshi? mwambie aachane na tabia hiyo mbaya.Mungu hapendi.
 
hakuna ki2 kama hcho sio lazima kutoa tiGO bana ni kiburi tu cha mwanadamu na ufirauni umezidi, kwanza unamuaribu mwenzako an kiafya c nzuri then hakujakaa special kwa tendo hilo watu tu wanalazimisha.....kingine ukiangalia wanaopenda ako ka mchezo wengi wao walizoesha na makahaba yaani unakuta, kuna watu ninaowafahamu yaani wenyewe kwa wake zao wala ata kuulizia hawaulizii lakizi wanacheza hako kamchezo nje ya ndoa yao unajua mazoea mabaya sana. Niliwah wauliza wakaniambia eti wale madada poa waliokua wanatoka nao mbele kumeshakua cold hvyo hakuna joto then elastic imeachia sana ndipo wanapoamua kuwapa tiGO na inakua burudani zaidi...wengine wanajisahau wanapeleka kwa wake zao na cku hzi wamefanya fashion lol! me nakushauri usikubali uyo wakwako anaetaka tiGO nia yake akudharilishe tu mwambie afuate madada poa
 
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.

Keshaanza tabia Mbaya huyo! nendeni mkapime
 
kimbia mamy huyo mumeo alishakula ya mbuzi sasa anaota mapembe! inaelekea ni tabia yake sasa kakuzoea ndo anatka bila woga usikubali kamwe,,,,,,,
 
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.

Si kweli mwanawane! Muulize yeye amepata huo mshawasha toka wapi.
 
Tafadhali wewe dada usijitafutie matatizo usiyoyajua. kwani umekosa nini katika njia ya ASILI. HEBU JITULIZE NA UKAE KITAKO KUTAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha kabisa na ukome, sio tu kwamba ni tofauti ya maumbile vile vile mwanaume anajiweka kwenye hatari ya kupata maradhi.
 
Back
Top Bottom