Swali kwa wanaume...

Lengo la kumpa tigo ni nini? binadamu hana tabia ya kuridhika,hakuna faida yeyote zaidi ya kuchukua hapo matatizo,laana na utumwa....

Kamwe uhusino jauwezi kuimarishwa na kupewa tigo,kwahiyo uhafifu wa uhusiano hauwezi kusaidika kwa kutoa tigo....ni vizuri watu wakae chini watafute kujua kinachopelea uhafufu wa uhusino ni nini na watafute suluhisho na si laana!
 
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.


eeeeeeek?!!

Kwanza vipi, Za masiku?
aisee pole sana bana.
Endelea tu kumnyima, utakuja valishwa nepi bure uzeeni.
 
Sio lazima. Hiyo ni laama tu. Usijaribu. Ila ukifanya huo mchezo hutowacha tena. Ni kilema.
 
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.
Dada yangu naona kama umemremba sana huyo mumeo, hebu muulize haridhiki na hivyo unavyompa hadi adai tigo? Mwambie mume wangu mbona hukuwa hivi nini kimekupata! Mwambie tabia hiyo ni ya watu wasio na hofu na Mungu kabisa, mjulishe kama ningekuwa nakupa toka mwanzo ungenidharau kwa kuniona malaya na sembuse usingenioa kabisa.
Mwambie hilo jambo ni baya halina mfano hivyo huwezi kumuasi Mungu wako kwa kukuridhisha wewe ambaye kesho ukipata kicheche kingine huko nje unaweza kuniacha. Sema yote kwa kumananisha akiendelea mtishie kumshitaki ukweni au kwa mshenga au viongozi wa dini naamini atapeleka upuuzi wake huko.
Mwisho tigo haaimarishi mapenzi, fuatilia wanawake wanaotoa tigo wanaachika na kukwaruzana mara kwa mara. Ingekuwa tigo inaamarisha kivileee basi wangepeta. Amini ninayokwambia.
 
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.

Mh! Madogo, lakini mazito... Huyo anakutafutia sababu tu kuna sehemu kaahidiwa tigo so anakuvutia kasi anajua hutakubali ili apate tiketi.. Mfungulie vitabu vya dini na umsomee. Ila du imekaa vibaya hata haya haoni kumuomba wife tigo kama changu... mh! Mtoze fine kakuvunjia heshima
 
mm ninaona ni kuto heshimiana mana kama m2 anakudhamin na kukujal iweje aje kukuingilia kinyume na maumbile? Cha msing mkataze na kuwa mkal ukiona huyo menzio anazid kukuomba au akiwa anazungumzia UPUMBAVU! Kama huo na mkataze kukaa kijiwen na kama anakaa mwambie stor za kijiwe ziishe kijiwen asikugeuze wewe kuwa practice yake. Wenye akil hii ni wale wenye kuangalia ponographic na stor zisizo za maana kataa upuuzi wa namna hyo
 
Mungu shuka uone watu wako wanavyokwenda kinyume na maadili. Huyo kama ni mume au mke anakulazimisha kutoa TIGO naomba funga kilicho chako ondoka usigeuke nyuma ukawa chumvi. Imaginei ni mumeo anaomba huyo uchafu, ameshindwa kwenda kwa wale wenye kutoa hizo huduma?

Mungu tunusuru!
 
nilikumiss.....habari za siku?

Nikirudi kwenye mada.......sio lazima kupeana kinyume cha maumbile na ni uchafu......

Preta avartar yako kali hongera kwa staili hiyo
Nikirudi kwenye mada kwa Wanawake, mimi nimelewa Safari lager 6 nipo speed hasa sichoki nikikosea njia na usinishtue NITAJUA? si mpaka uniambie wakati wewe ni shida yako nimwache mama watoto wangu niongeze matumizi na kukulipia kodi. nikigundua siji tena nikiwa mzima
 
madhara si kwako tuu ata mumeo akiendekeza huo muchezo mulija huwa unaziba matibabuyake nighalisana mushauli kamakaonjeswa nawaliojizira mshauli aachane nahuo mchezo usikubali
 
Nikisoma mada kama hizi huwa nasikitika sana kwamba mambo haya yamefika kwenye jamii yetu kwa sisi wenyewe kutoyakemea na sasa tumeyaona kama ya kawaida. Siamini kwamba hata anayeomba ushauri amesahau kabisa maadili ya kibinaadamu na ya Mungu pia na yeye yuko njia panda hajui cha kufanya. Hili si jambo la kulifanyia mzaha kabisa kama baadhi ya watu wanavyochangia inabidi tulipige vita kwa ajili ya kizazi kijacho c chetu maana sisi tumeshapotea tayari. 4x4byFar kufanya hivyo ni kosa kisheria za kibinaadamu na za kimungu pia kumbuka Sodoma na Gomora. Pia mwambie mumeo akome kabisa la sivyo utampa talaka maana ni sababu tosha kabisha ya kuomba talaka. May God gives u courage and guidance on this.
 
Laana hiyo..kimaani..kidini ..kiafya...thn likitendeka hilo mkimaliza mnaangalianaje uson..ila siku hizi pipo hata haya hawana..mungu tupishie mbali
 
huyo ni mmeo au............ , kwa mujibu wa dini ya kiislamu ukimuingilia mkeo kinyume na maumbile HESABU KUWA NDOA YAKO IMEVUNJIKA KUANZUIA HAPO. na kama bado mnaenendelea kuishi basi ujue kuwa kila mkilala na kupeana haki ya ndoa MNAZINI. itabidi mkafunge ndoa upya, jambo hilo ni chafu na halifai kufanywa kwa watu waliooana. na mwenziwako anapoanza tabia hiyo ni budi ujiulize kule mnakoelekea.:sleepy:
 
XXX porn,ndo maana tunaugua,tunapatwa majanga na kuishi na mikosi ya kila aina ....hii yote ni kumuasi Mungu kwa kuendekeza SODOMISATION,nakushauri usifanye maana raana yake ni zaidi ya kuua
 
Back
Top Bottom