Swali kwa wanaume tu!!!!!! (waliooa au wenye wanawake)

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
###################################################################

Mfano wewe umesafiri kwa wiki 2,

unarudi ghafla unakuta mkeo ananong'ona na m2 chumbani

lakini ukiwa unawaza ha2a ya kuchukua

gafla unavamiwa na simba jamaa na mkeo wanatoka na kanga kiunoni

lakini jamaa anapambana na simba hadi anamuuwa, na kuokoa maisha

yako.

Ungekuwa wewe ndugu yangu ungechukua ha2 gani kwa mshkaji?

##################################################################
 
kwamba baada ya kumwua simba,
na kuokoa maisha yangu na mke wangu,
basi ndo ile dhambi ya kwanza iwe imefutika, NO......,
SIDHANI........

NTARUDI......................
 
mi ninge msamee jamaa nimwambie aende na asante kwa kuokoa maisha yangu,then namwambia kwa kuwaa umeokoa maisha yangu na kukabithi huyu mwanamke kama zawadi yangu,hapo ntakuwa nime fanya fair
 
:first:Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa herini wadau, mie hapo sipooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:first:
 
###################################################################

Mfano wewe umesafiri kwa wiki 2,

unarudi ghafla unakuta mkeo ananong'ona na m2 chumbani

lakini ukiwa unawaza ha2a ya kuchukua

gafla unavamiwa na simba jamaa na mkeo wanatoka na kanga kiunoni

lakini jamaa anapambana na simba hadi anamuuwa, na kuokoa maisha

yako.

Ungekuwa wewe ndugu yangu ungechukua ha2 gani kwa mshkaji?

##################################################################

Hii ni kwa wanaume wamasai na jamii zinazoishi karibu na hifadhi za taifa tu!! Sasa uliza suali lako na liwe linalenga jamii zote maana mimi kwa sababu siishi maeneo ambayo naweza kuvamiwa na simba sipati picha kabisa hapa....
 
Mmmmmmm,
Kumbe mi sio mwanaume,
Samahanini jamani.:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch:
 
Nitampa zawadi ya mke wangu aende naye kabisa. Mimi nitaoa mwingine.
 
:first: :first:Kama amepambana akamshinda simba kwetu huyo ndie anastahili kuondoka na mke:first: :first:
 
Bado unaishi porini? Dar es Salaam hakuna simba...! So kitu kama hicho hakiwezi tokea...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom