sWALI:KWA wanaume na Wanawake.

wale wanaotumia madawa na cream za kujichubua inamaanisha WANAUKANA UAFRICA?
Hakuna uhusiano kati ya weusi na Uafrika. Kuna waarabu Afrika na kule Zimbabwe, Zambia na South Afrika kuna wazungu waafrika. Labda ubadili muktadha wa swali lako.
 
Ni vitu vya kuiga bila kujua madhara yake shida kubwa ni umri unasumbua wakikua wanaacha ila ngozi zao zimechoka kabla ya umli
 
Hata Amerika (USA) wanaweza kujiita Waafrika , na maisha yakaendelea....

Je unadhani Misri, Libya, Tunisia ama Morocco, ni sahihi kwao kuitwa Africa..?
 
Back
Top Bottom