Swali kwa wanaume ila wadada pia mnaruhusiwa kuchangia

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.

Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko huru kukupeleka kwake. kwa maelezo yao "wanaume ni kwamba et kakuheshime sana" kama hajakuheshimu angekupeleka lodge.

Lakini huyo huyo mwanaume hapo home kwake ndo anawaleta wasichana wote anaodate nao, so hiyo ni heshima au dharau????? Me nililipinga sana hili na wala haliwezi kuwa kigezo cha uaminifu.... Je wadau ninyi mnalionaje hasa ninyi mwanaume
 
mhh heshima apimwi kiivo lakin weng wao wansemaivo et ahh yule wa kupelekwa gest ...ahh uyu nampeleka geto...but mi idnt believe t anaweza akakupeleka gest na akakuheshimu na akaupeleka home kumbe anakugusa once na anakumwaga....

heshima inakuja badayeeeeeeeeeeeee baada ya kukusoma na akajua msimamowako na tabia zako then ndo utampatiket ya yeye kukudharau au kukuheshimu:peep:
 
Hapo ishu ni kugonga tu
Haijalishi eneo
Kwani ukifia angani au nyumbani, hoja ni umefia wapi?
 
Vijana inabidi mkomae akili na fahamu zenu. UJue unafanya maamuzi ya kuingia kwenye chumba cha mkaka na unajivua nguo, umeingia kwa akili zako timamu..........Kama unadhani kwa kufanya unachofanya ndio security ya heshima ujue imekula kwako. Heshima ni kitu kingine, na hicho kitendo ni swala lingine, kwani hata changudua si anaweza kuletwa geto?...Je kama hana hela ya kukupeleka huko lodge....ahangaike wakati geto lipo?

Ha ha ha au unadhani ndio security ya sijui Ndoa imekula kwako mazima. Dunia ni yako, na chaguo ni lako. Kufanya mapenzi ni uchaguzi, kujibembesha mimba ni uamuzi, KUFUNGA NDOA ni MAAMUZI MAGUMU. Kuheshimiwa ni wewe unavyojenga hiyo heshima.

Halafu umesema vizuri kwamba yawezekana kila msichana anayemtaka anamleta geto :(
ha ha ha chezea jinsia ya Upinzani wewe..............

Tumia akili...................Fikiri kabla ya kutenda.
 
Lakini huyo huyo mwanaume hapo home kwake ndo anawaleta wasichana wote anaodate nao, so hiyo ni heshima au dharau????? Me nililipinga sana hili na wala haliwezi kuwa kigezo cha uaminifu.... Je wadau ninyi mnalionaje hasa ninyi mwanaume

Unaweza azima geto la mshikaji mkawa mnakutania pale unajidai wewe ndo mmiliki na unachinjia hapo hapo
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hapo ishu ni kugonga tu
Haijalishi eneo
Kwani ukifia angani au nyumbani, hoja ni umefia wapi?

Hata wakiwa wanakutania kwenye pagare ishu ipo pale pale ni kugongana tu
Hata wakikutania kwenye nyasi ishu ipo pale pale ni kuchinja tu mchepenge
 
Nadhani jibu limepatikana. Ila ni kwanini ni mwanaume ndo wa kumpeleka 'kwake' mwanamke na si vinginevyo? Haki sawa niaje? Last time I checked a relationship is a two way traffic!

Wadada wengi hawakai peke yao. Na kwa nini nikulete kwangu wakati najua utanizibia riziki? :( Uking'ang'ania nakupeleka ka mshikaji nadanganya hapa kwangu, nakuchinjia hapo. Anayemleta mwenzie si ndio mchinjaji?
 
Wadada wengi hawakai peke yao. Na kwa nini nikulete kwangu wakati najua utanizibia riziki? :( Ukingangania nakupela ka mshikaki nadanganya hapa kwangu, nakuchinjia hapo. anayemleta mwenzie si ndio mchinjaji?

Ntakuzibia rizki as in ukipata mwanaume ni biashara eh? Na utachinjaje wakati huna 'kisu'?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mwafrika uko juu mkuu,kuchinja ni kuchinja hata kwenye room ya demu unachinjia humohumo.
 
Back
Top Bottom