Swali kwa Wanandoa

mi waif namuita KWA JINA LAKE....!
sina compromise na wala sihitaji ku-pretend
 
Mke/Mme sio ndugu!
Mke/Mme (mpenzi : true and false : the rising trend of small-house contradict this definition)
Mke/Mme (rafiki : partially true: can be true : women are great sympathizer although men are not!)
Mke/Mme (partner : partially true : you are sharing the activity although some do not!)
Mke/Mme sio mzazi mwenzio : Wengine hawana watoto lakini ndoa inaendelea)
 
mme/mke ni kila kitu ktk maisha ya mmoja wapo, ni mmpenzi, rafiki partner, etc (kwa kuwa tuliunganishwa tukawa kitu kimoja)
 
Mke/Mme sio ndugu!
Mke/Mme (mpenzi : true and false : the rising trend of small-house contradict this definition)
Mke/Mme (rafiki : partially true: can be true : women are great sympathizer although men are not!)
Mke/Mme (partner : partially true : you are sharing the activity although some do not!)
Mke/Mme sio mzazi mwenzio : Wengine hawana watoto lakini ndoa inaendelea)
hapo umezidi kunikanganya (kunichakachua) ubongo
 
Yote ni majibu, ila inategemea na jinsi mahusiano yenu yalivyo. Wote humu tunakubaliana kuwa kuna ambao wameoa/kuolewa na watu ambao hawakuwa wapenzi wao (ilitokea bahati mbaya wakajikuwa wanalazimishwa ndoa), kwa hiyo huyo hawezi kuwa mpenzi. Pia kuna waliooa/kuolewa na ambao hawakuwa marafiki zao, so hawezi kuwa rafiki. Yaliyobaki ambayo ni common kwa kila mtu ni partner, mzazi mwenza, na msaidizi.
 
Mke/Mme sio ndugu!
Mke/Mme (mpenzi : true and false : the rising trend of small-house contradict this definition)
Mke/Mme (rafiki : partially true: can be true : women are great sympathizer although men are not!)
Mke/Mme (partner : partially true : you are sharing the activity although some do not!)
Mke/Mme sio mzazi mwenzio : Wengine hawana watoto lakini ndoa inaendelea)

Baba baba! Babaaa Baba Huyooo.......................:becky::becky::becky::becky:
 
Mke/Mme sio ndugu!
Mke/Mme (mpenzi : true and false : the rising trend of small-house contradict this definition)
Mke/Mme (rafiki : partially true: can be true : women are great sympathizer although men are not!)
Mke/Mme (partner : partially true : you are sharing the activity although some do not!)
Mke/Mme sio mzazi mwenzio : Wengine hawana watoto lakini ndoa inaendelea)
Je kwa wale wenye watoto...??
 
genau......ya nini malumbano bana....
unajua mkuu kwa sisi infidelators....!ni ngumu sana kumuita waif petii,switii,haniii,cutiii,sijui nini...!gumu banaaaaaaaa!nayatumia maneno hayo hayo nikiwa kwenye ''profesheni'' angu!again nikamdanganye na waif,!...

aaaaaaahhh GUMU SANA BANAAAAAAAA
 
hata kwenye 6 x 6 humwiti hayo majina?
 
hata kwenye 6 x 6 humwiti hayo majina?
simwiti!...
na kwakweli haibadilishi the fact kwamba ninampenda sana!
again...!SIWEZI KU-PRETEND KWA MKE WANGU!tuache maisha ya kwenye tamthiliya jamani
 
Mimi naona ana Majian mengi zaidi kutokana na vile alivyo.
Ila siyo ndugu yako maana undugu una maana direct zaidi.
ama sivyo wasingeachana
 
simwiti!...
na kwakweli haibadilishi the fact kwamba ninampenda sana!
again...!SIWEZI KU-PRETEND KWA MKE WANGU!tuache maisha ya kwenye tamthiliya jamani

Acha hizo inakuwa bado hujafika, au ni mwongo mkubwa. Kumbuka watu walishindwa wateule wa Mungu wakataja hata yale waliyo katazwa.
Si kama tufanyavyo sisi siku hizi bwana.
 
Mke/Mme sio ndugu!
Mke/Mme (mpenzi : true and false : the rising trend of small-house contradict this definition)
Mke/Mme (rafiki : partially true: can be true : women are great sympathizer although men are not!)
Mke/Mme (partner : partially true : you are sharing the activity although some do not!)
Mke/Mme sio mzazi mwenzio : Wengine hawana watoto lakini ndoa inaendelea)

Mke/Mume sio mzazi mwenzako:tafiti nyingi zinaonyesha wanaume wengi wanalea watoto wasiokuwa wao. Wanabambikizwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom