Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Wadau hivyo ndivyo tangazo linavyosomeka kwa walioitwa kwenye oral interview pale udom kwa baadhi ya post kama vile graduate nurse n.k,,lakini kuna baadhi ya post hasa academic post kama vile tutorial assistants,lecturers e.t.c sijaona walioitwa namimi nilitupia kwenye TA(Tutorial Assistant),,Ningeomba kwa mwenye taarifa anijuze kama zenyewe bado au tayari walishaitwa?
Nawasilisha Kwenu Wadau.
Nawasilisha Kwenu Wadau.