duh, yaani kuna . . .
We hua unajisikiaje kutoa?
roho huwa inaumaje? Ingekuwa kwa hiari yangu nisingekuwa natoa hata senti..
Kama buku 10 nakurudishia, zaidi ya hapo napokea. Lol!
.
100,000 chukua
roho huwa inaumaje? Ingekuwa kwa hiari yangu nisingekuwa natoa hata senti..
Kama buku 10 nakurudishia, zaidi ya hapo napokea. Lol!
Kwanini asikununulie hiyo vocha kama zawadi instead akakupa pesa??Kwanza anae nipa ananipa kwa nini? Ni zawadi tu.
Kama ananipa ya vocha si nitatumia kwa kununua vocha?
Ni malipo halali kwa ununuzi wa vocha, ambayo ndio zawadi.