elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Habari wana jukwaa...
Nijuavyo mimi wachina hawajawahi kutengeneza OS, lakini wanatengeneza processor(chinese innovated) ambazo huwa zinatumiwa na systems za jeshi la China pamoja na other secured systems za Beijing administration tu.
OS(napenda tuziite cloned OS) pekee hawa mabwana wanatengeneza ni zile za mobile na smartphones tu, wao wana simu zao ambazo miaka ya karibuni zimekuwa zikiingizwa Tanzania na sehemu nyingine za Afrika.
Hili jibu nina uhakika nalo kwa kuwa nimeishi China muda mrefu tu.
Mkuu mleta thread, any OS is vulnerable to computer viruses, keep in mind virus huwa anakuwa programmed to function/run in a particular platform in our matter it might IOS, WIN, Google Chrome OS etc etc..
Wana OS developed from linux inaitwa red flag Linux, graphic interface yake ni similar sana na windows ili iwe rahisi kwa watumiaji. Lakini inadaiwa codes nyingi wame copy na kupaste hawaja develope code za zaida kwenye hiyo OS japo inatumika kwenye internet cafes na system zao nyingine.
Wajapana ndo wana OS developed from the scratch ambayo nayo wameiacha kama open source inaitwa TRON amba wana Stron, MTRON, PTRON na nyingine kibao ikitegemea na matumizi.
Nadhani kutengeneza OS ni kati ya kazi ngumu sana