Swali kwa madume wa jamii forums

Muulize vizuri kabla ya kumhukumu.kwani ulidhani ni bikira eti kwa sababu ni mtoto wa mchungaji.Kapime kwanza usije kuanza kuishi kwa matumaini. mpaka anakuwa na alama hizo kwenye mwili wake basi ujue watu wengi(zaidi ya wawili) wamepita hapo.ila ukisha funga ndoa kinachofuata ni kuvumilia,kueleweshana na kupatana,ili ujiweke katika line ya kwenda kwa Mungu.:A S-coffee:
 
Hii topiki imenishangaza sana tena kupita kiasi. Hivi katika dunia hii ya sasa hivi mtu unaoa bila kutest mashine kwanza? mimi hiyo haiingii akilini kabisa maana mashine ni kigezo kimojawapo kwenye kufunga pingu za maisha

Mfano ungekuta mtu kakeketwa hata hamu ya mshibobo haisikii ungefanya nn? Ujinga ni SUMU

sasa matokeo yake umeenda kuona vitu usivyovitegemea na una bahati sana kukuta tattoo kwenye paja je ungekuta tattoo ya jina la mwanaume imechorwa kuzunguka tigo si ungekufa kabisa kwa presha
 
Kwani hiyo ina hatari gani? Ukikuta tatoo ukakuta na bikra vp? Je ukikuta hakuna tatoo lakini bikra haipo-tena bwawa? acha hzo za kitoto, mkeo ukianza kujiuliza alishawahi kuchunguliwa na nani itakuwia ngumu sana ndugu. wewe je wangapi wamekuchungulia, wakaishika jambia, na wengine wakaitafuna? karagabaho!
 
Hapo kuna walakini,kwanini tufanye mambo gizani?Kama mimi ndio muoaji siwezi kukubali kula tunda gizani hasa ukizingatia ndio siku ya kwanza maana nitataka kuona kila nilichokuwa nasubiri kwa wakati wote mpaka siku hiyo.Habari za Tatoo ni jambo jingine gumu,nani kachora?Mwanamke au mwanaume?Kama ni mwanaume aliishia kuchora tu?Kama ni mwanamke inawezekana ana tabia za kisagaji!HAPO NI KIBANO CHA HAJA NA BAADAE NI KUMWAGA MANYANGA
 
Tatuu ni hina za muda mrefu. Hakuna haja ya kumwacha maana utamu wa pipi mate yako!
 
ni vyema kutest demu wako kabla ya ndoa ili kuepukana na mambo kama haya! hata kama msipofanya ila umkague mambo kama haya!
 
Mke wangu ana tatoo, sijawahi hata kumuuliza ni wapi alikoipata.
Ana adabu, heshima na taadhima kwangu, ndugu zangu na hata majirani pia.
Mtaa mzima wanamsifia kwa ukarimu na ucheshi wake.
Ana upendo kwa watu wote.
Wanawake wenye tatoooo hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnaanza maisha yakijambazi na unamwuliza je unampango wakuzaa au tuanze na new session?? lakini kimitego mitego kama pako bomba unajitoa kama ulikuwa unatania kama wameshabomoa unendelea na training then unmkamatisha kwa wazazi una achananaye!!!

kitendawiliiiiiiiiiiiiiiii??????............tegaaaaaaaaaaaaa.....AVATAR YAKO IMEFANANA NA NIN?
 
Mke wangu ana tatoo, sijawahi hata kumuuliza ni wapi alikoipata.
Ana adabu, heshima na taadhima kwangu, ndugu zangu na hata majirani pia.
Mtaa mzima wanamsifia kwa ukarimu na ucheshi wake.
Ana upendo kwa watu wote.
Wanawake wenye tatoooo hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
wanawake wajanja sana jamani, ona jamaa alivyozugika, hahaha
 
Hii topiki imenishangaza sana tena kupita kiasi. Hivi katika dunia hii ya sasa hivi mtu unaoa bila kutest mashine kwanza? mimi hiyo haiingii akilini kabisa maana mashine ni kigezo kimojawapo kwenye kufunga pingu za maisha

Mfano ungekuta mtu kakeketwa hata hamu ya mshibobo haisikii ungefanya nn? Ujinga ni SUMU

sasa matokeo yake umeenda kuona vitu usivyovitegemea na una bahati sana kukuta tattoo kwenye paja je ungekuta tattoo ya jina la mwanaume imechorwa kuzunguka tigo si ungekufa kabisa kwa presha

Mkuu, nakuheshimu lakini hiyo red umetereza, wapo kibao walioweka tunda ndani na kukuta ni hai, zuri na tamu kuliko maelezo! Ukweli ni kwamba pamoja na maendeleo ya sayansi ambayo wanadamu wa leo wameyafikia, bado hatujawa na hoja yyte ya kupinga kilichosemwa na m/mungu! kwani madhara ya kuyaendea kinyume maelekezo yake ni maafa tu-an'way akina Rev. Masanilo na Preacher ni wajuzi katika eneo hili so ukitaka mengi watakujuza!
 
Hivi siku hizi kuna watu wanoa bila kutesti mashine kama iko vipi?? Kuna walakini hapo!! Ndoa maana yake ni kazi moja tu ya kudu hayo mengine hata kwa wazazi wake ameyaacha sasa wewe unaoa bial kumdu hiyo ngumu hata mie nisingekubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom