Swali kwa madume wa jamii forums

Ndoa bila kuonja..no way..
Lazima ukague kila mahala ndo utangaze ndoa...
 
pole sana kiranja siku nyingine usije ukamwamini demu.watu wanapima mashine kwanza.bodi zipo hata used.au mchina kabisa.
 
mimi sioni tatizo hapo, ila kubwa ulitakiwa kumuuliza nani kamchora, huenda mwenzi alitaka kukufanya suprise! hahaha
unalo hilo, tena ndio mkristo mwenzangu, mpaka kifo kitutenganishe!
 
1.mke wa kanisani haachwi kwa sababu kama ya tatoo
2.wewe ulikuwa nao nae alikuwa nao hadi wamemchora, sasa kila mtu kaacha upuuzi wa kale mmeanza maisha mapya kuna tatizo gani?
3. Huyo anayajua yote hadanganywi tena kwa tatoo au nini ishi nae.
4.kwenye familia za kichungaji ndio kuna madudu zaidi,kwa sababu shetani anaripoti daily......kumbuka hata aliemsaliti yesu ni mwanafunzi wake.
5. Nyie mnaosema kuonja kwanza ni muhimu..hiyo naona haifai kwa sababu:
1.utaonja vingapi hadi uridhike?
2. Je utaonja ukiwa umevaa soksi au peku?.....kama peku na ukimwi je?...na kama na soksi..utajuaje uhalisia????
Ufumbuzi ni kuwa, fanya utafiti wa kina,mtumie hata dada yako.kisha mwombe sana mungu atakupa ukitakacho.
 
NDUGU MPENDWAA
POLE SANA HAYO NI MOJA YA MAJARIBU YA DUNIA....SIJUI WAKO..KUNA NDUGU YANGU ALIKUWA MWAMNIFU KWELI YEYE ALIKUTANA NA TATOO KUSHOTO IMEANDIKWA DANY ALIPOKOSEA KUANZA KUCHUNGUZA ZAIDI AKAKUTANA NA YA ZIADA LUV U DANY
AKUTAKA ATA KUENDELEA MBELE TUKAMWAMBIA UKICHUNGUZA SANA UTAIKUTA PICHA YA MTU KWENYE JICHO UKAPIGA MAKELEELE
SO HAPA AKUNA ATAKAEKUPA WAZO LA KUMWACHA HATA KIDOGO HILO NI MZIGO WAKO NA UMEKIRI UTAISHI NAE KWENYE SHIDA NA RAHA HIZO NDIZO SHIDA ZENYEWE USITARAJIE KUPOKEA RAHA TUPU KWENYE NDOA ...SASA BASI HAPA SI MAHALI PAKE...
WEWE LA MAANA AMINI MOJA KAMA NDOA MPYA AKUNA ATAKAETATUA TATIZO LA NDOA YAKO ISIPOKUWA WEWE NA MKEO SI SAMSON WALA DELILA...WEWE PEKE YAKO KAA KWENYE MAOMBI CHUKUA MUDA WAKO ONGEA NA MWENZAKO..YAWEZEKANA ALIWEKA KWA FURAHA YAKE NA ANA HAKI KWA KUWA UKUWAHI KUMVUA NGUO MAPEMA KAMA MAHARAMIA WENGINE WA MAPENZI

SO KWA HILI NAMPONGEZA SANA HUYO BINTI....PENGINE CHUKUA MUDA ONGEA NAE NA PIA MWELEZE USIYOYATAKA NDOA NYINGI ZINAKUFA KWA KUTOKUWA NA MAONGEZI YA MARA KWA MARA MWAMBI UNACHOTAKA USICHOTAKA UONE.......

YAMELETWA KWENU NA WATUU WA TANKI BOVU KWA NIABA YA WATU WAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm..........kn
 
Kuna rafiki yangu alitoka nje masomoni akampenda msichana mmoja akampeleka kwao kumtambulisha,rafiki wa mdogo wake akamwita pembeni na kumwambia huyu msichana hakufai vijana wengi tunaponea kwake na kama unabisha ana tatoo nne,moja juu ya ziwa,moja kutovuni,moja juu ya kalio na moja ndani ya paja.
 
I call a spade a spade and not a big spoon. Mtu anakuwa na msichana anadhani kwamba huyo binti ni ''malaika'' na eti unasubiri mpaka siku ya ndoa ndipo uonje, mambo ya kizamani sana hayo! Na ndio hapo sasa watu wanammega, na wa wanamchora na tattoo kabisa!!!

Na bora hiyo tattoo ya kwenye mapaja iwe ya kawaida, isijekuwa ni tattoo ya uume halafu imeandikwa jina la mwanaume mwingine!

Well said brother. Ha ha haa haaaaaaaaaaaaa. Asante kwa siku ya leo pokea sanks yangu. Yaani nilkuwa nimenuna mpaka basi ila imebidi nicheke maana hii kweli kabisa.
Hivi hivi vitu si vina test yake? Ukikuta tindiga na wewe unapenda mnato itakuwaje. Au bbye anauliza mbona sikusikii na wewe una ndoa takatifu utaacha mke ama?
Kuonja muhimu lol
 
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa takatifu kanisani. usiku wa kwanza tunda mmelila gizani, asubuhi ukaja kugundua ana tatoo permanent one mbili mmoja kwenye paja pembeni kabisa na home sweet home na nyingine kwa bubs yaaani kama zile za eve je utaendelea kuwa nae?
Naomba jibu tafadhali

OK, lakini je tunda lilikuwaje? au pia hukujua kwa sababu ya giza
kama lilikuwa poa, we mzee kauka tu, kaifute tattoo hata kwa msasa kama inakuboa... la si hivyo mzee unalo..... :lol:
 
Aise pole sana, ila ujiulize kama kuna vipi alisha kudanganya wakati mnaanzana. Kwa hiyo hata hamkuwa mnakiss??:eek2: au hukuwahi kumuona akiwa uchi??:lol: Jee ulimkuta Bikra?? .Kama kuna uwongo mwingi unaweza kuanza. La sivyo kama mnapendana Kuchora tuu sio kitu kibaya.
 
Ulikula kiapo cha uvumilivu kwenye shida na raha.
Ndoa zinazo anza na misukosuko siku ya kwanza, hizo hudumu sana.
Hongera kwa kupata mke wako wa maisha.
Tatoo zake zikifutika ndio mwisho wa ndoa yenu.
 
Jamaa alithibitisha, au yalikuwa ni maneno ya kuvuruga tu mahusiano ya watu?
Kuna rafiki yangu alitoka nje masomoni akampenda msichana mmoja akampeleka kwao kumtambulisha,rafiki wa mdogo wake akamwita pembeni na kumwambia huyu msichana hakufai vijana wengi tunaponea kwake na kama unabisha ana tatoo nne,moja juu ya ziwa,moja kutovuni,moja juu ya kalio na moja ndani ya paja.
 
Hivi mtoto wa mchungaji ni malaika? Au hata mchungaji mwenyewe?

Kwani tattoo zina ubaya gani? Na je umemwangalia vizuri, usikute hata kwenye kisimi kafunga hereni...!!! Ndio maana inashuriwa kuonja kwanza kabla ya ndoa...!!! Ili kuepuka kukwazika kwenye ''honeymoon'' kama hivi.

Ina tatizo mkuu maana aliyemchora kama ni mwanaume (na wengi ni wanaume) hapo lazima alimega tunda na huenda akaendelea kumega kwa kumuambia nimemis kuziona zile tattoo nilizokuchora twende ukanionyeshe basi getto akifika huko ni kmegwa tu! Akili nyingene za hawa dada zetu ni madudu kabisa, utakubalije kuchorwa matattoo sehemu za siri wakati siyo mmeo! Ni bora uolewe ndiyo mumeo akuchore hayo matattoo hapo hapana tatizo...Mweee
 
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa takatifu kanisani. usiku wa kwanza tunda mmelila gizani, asubuhi ukaja kugundua ana tatoo permanent one mbili mmoja kwenye paja pembeni kabisa na home sweet home na nyingine kwa bubs yaaani kama zile za eve je utaendelea kuwa nae?
Naomba jibu tafadhali

We nawe kwani tatizo lipo wapi sasa? Kuwa mtoto wa mchungaji haimaanishi kitu..Lakini nakulaumu kwa nini hukufanya riheso ya kumegana kwanza unakwenda kichwa kichwa tu..hujasema kitu kimoja hapa kutokana na ulivyoandika ni kwamba ulitakiwa siku ya kwanza kummega ukute kitu brand new (not used) hebu sema kama ilikuwa new au used?. kiranja mkuu vipi bana?
 
nini tattoo?tena huyo anaonekana mtoa tigo mzuri sana tu,maana bikra alikua anakutunzia wewe,jaribu kula ndogo uhakikishe maneno yangu.:violin:
 
Mimi nilifikiri unalalamika kwamba utepe ushakatiwa na wajanja, kumbe tattoo ? Get real son, if tattos is the worst thing you can say about wifey then your problems are imagined and not real.
 
Mpwa, hata angekuta bikira ipo ingekuwa ni bikira feki.
Wanawake wana mambinu sana na akili nyingi za kuwarubuni wanaume kwenye mapenzi.
Shigongo magazeti yake yamejaa matangazo ya waganga wa kienyeji wanao rudisha bikira.
Mi ndio maana mademu bikira siwataki kabisaaaaa
we nawe kwani tatizo lipo wapi sasa? Kuwa mtoto wa mchungaji haimaanishi kitu..lakini nakulaumu kwa nini hukufanya riheso ya kumegana kwanza unakwenda kichwa kichwa tu..hujasema kitu kimoja hapa kutokana na ulivyoandika ni kwamba ulitakiwa siku ya kwanza kummega ukute kitu brand new (not used) hebu sema kama ilikuwa new au used?. Kiranja mkuu vipi bana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom