Swali kwa madume wa jamii forums

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa takatifu kanisani. usiku wa kwanza tunda mmelila gizani, asubuhi ukaja kugundua ana tatoo permanent one mbili mmoja kwenye paja pembeni kabisa na home sweet home na nyingine kwa bubs yaaani kama zile za eve je utaendelea kuwa nae?

Naomba jibu tafadhali
 
kama tatoo ni ya kitu kisichokwaza.. No P.. Ila nikikuta tatoo ya X Bf wake... kuna umuhimu wa kipindi cha maswali na majibu hapo!!
 
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa takatifu kanisani. usiku wa kwanza tunda mmelila gizani, asubuhi ukaja kugundua ana tatoo permanent one mbili mmoja kwenye paja pembeni kabisa na home sweet home na nyingine kwa bubs yaaani kama zile za eve je utaendelea kuwa nae?
Naomba jibu tafadhali

Hivi mtoto wa mchungaji ni malaika? Au hata mchungaji mwenyewe?

Kwani tattoo zina ubaya gani? Na je umemwangalia vizuri, usikute hata kwenye kisimi kafunga hereni...!!! Ndio maana inashuriwa kuonja kwanza kabla ya ndoa...!!! Ili kuepuka kukwazika kwenye ''honeymoon'' kama hivi.
 
Hadi mnafikia hapo si ulishamchunguza vema? hivyo ni kipindi cha kuzungumza na kukubaliana na maamuzi yatoke yenye busara kwa sababu hatua mnayokuwa mmefikia na ya juu. Na kumbuka yale maswali pale kanisani na Baraka za hao watiwa mafuta.
Lakini huyo mke wako kwanini awe mpya inamaana ulikuwa na mwingine ukamwacha au? na kwamba naye huyo yu mbioni kuachwa. Nifafanulie kidogo.
 
Masaki dot com kweli huna mchezo.
Wewe umeoa lakini?

I call a spade a spade and not a big spoon. Mtu anakuwa na msichana anadhani kwamba huyo binti ni ''malaika'' na eti unasubiri mpaka siku ya ndoa ndipo uonje, mambo ya kizamani sana hayo! Na ndio hapo sasa watu wanammega, na wa wanamchora na tattoo kabisa!!!

Na bora hiyo tattoo ya kwenye mapaja iwe ya kawaida, isijekuwa ni tattoo ya uume halafu imeandikwa jina la mwanaume mwingine!
 
Mnaanza maisha yakijambazi na unamwuliza je unampango wakuzaa au tuanze na new session?? lakini kimitego mitego kama pako bomba unajitoa kama ulikuwa unatania kama wameshabomoa unendelea na training then unmkamatisha kwa wazazi una achananaye!!!
 
Mchungaji baba yake sio yeye, alivyokubania mpaka ndoa umemkuta bikra, watu wengine bwana wanatumia dini kuficha madhambi yao
 
lakini utoto wa mchungaji na tabia za mtu binafsi vina mwingiliano gani?
mtu hawi mtakatifu kwa sababu ya uchungaji wa babaye,
hapo ni wazi tu kuwa uchague moja tu kama umempenda ipende na tatoo yake
lah si hivyo muache na tatoo yake, maana mtu hafungwi na mtu juu ya nini akifanye
aonapo kuwa mtarajiwa wake ana tabia ambayo itkuletea makwazo baaye

hapa tukiijadiri hiyo tatoo yake haitafutika na kukuletea wewe amani
labda utwambie kuwa hoja ni Mtoto wa Mchungaji ana tatoo, lakini napo sia hoja
maana hamna cha ajabu hapo hiyo ni sehemu ya maisha yake yeye
 
Very well said.

BTW inategemea na mtazamo wa muoaji kuhusu tatto. Yeye anaweza kuwa na mtazamo kwamba mwanamke aliyejichora tattoo ni malaya na hivyo mtoto wa mchungaji hakustahili kujichora tattoo. Ni sawa na wale ambao wana mtazamo hasi kwa wadada wanaovaa cheni za dhahabu miguuni.

Ila expousure nayo ni muhimu sana katika mambo haya! Unaweza kuacha mke eti kisa ana tattoo kwenye mapaja! Tehetehetehe!
 
yap hujakosea kweli hivyo anatakiwa kuijua tatoo ni kitu na ni nani anastahili kuwa nayo na nani hastahili kuwa nayo lakini jambo la muhimu ni kubadiri mtazamo wake juu ya tatoo hiyo
 
Ndoa ni uvumilivu, mvumilie mwenzako.
Hamna mwanadamu aliye mkamilifu.

Tatizo la huyu binti aliishi ki uongo uongo na huyu mchumba wake, akajifanya mtakatifu sana mambo ya kidunia kama haya kujichora hayapendi, ndo kinachomshangaza mtoa mada nadhani,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom