Swali kwa kina dada.

divorce ya nguvu akaishi na vipanya vyake,miwanaume ya kiafrica ovyo sana

Jamani rosemarie,
nahisi kama unawaonea waafrica tu,
mbona hata wazungu wanawapapalikia sana changudoa??,

Uhuni ni tabia ya mtu haijalishi kama ni mzungu,mhindi au mwafrica...lol
 
Hivi vitu Lizzy inatakiwa u relax, hata usimfikirie hata kidogo - in the process tutapata tu a perfect shem. Pia kuna option ya kunitembelea nikuandalie dinner mana huby ana marafi ambao bado wako single na wana pontetial....

Heheheheh...sasa mpendwa tuanze lini hii ''OPERESHENI MUME'' ya Lizzy???
 
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.

Mhhhh Bishanga nimeLIKE hiyo sehemu ya kubaki msela ila kuzaa na mume wa mtu hata kwa ruhusa ya mke sitaki....besides, i won't need to!!
 
Inabidi uvumilie kwa sababu uliapa kuwa utakuwa naye ktk shida na raha ,hizo ndiyo shida zenyewe.
 
Inabidi uvumilie kwa sababu uliapa kuwa utakuwa naye ktk shida na raha ,hizo ndiyo shida zenyewe.

hizo si shida.... ni umalaya.. unaoweza leta UKIMWI..... usipotoshe jamiii,,, hilo halivumiliki
 
nikiwa nina uhakika 100%
itabidi nimtahiri mara ya pili
au nivunje mayai ......
nadhani hii ndio solution
Not worth it. There are so many of us out there... You can even live single for the rest of your life-I mean will he still be your husband after doing that?
 
divorce ya nguvu akaishi na vipanya vyake,miwanaume ya kiafrica ovyo sana
So wazungu,waarabu na waasia hawa-cheat kwenye ndoa zao? Halafu, hakuna wanawake wa kiafrika (kizungu,kiasia, kiarabu) wanao-cheat? Labda tuseme miafrika hovyo sana.. Matatizo tunayoyapata ktk mahusiano yapo ktk kila jamii duniani, na wala sio Africa pekee. Nakushauri uangalie kipindi cha Cheaters ktk channel ya e Africa (etv).
 
Mhhhh Bishanga nimeLIKE hiyo sehemu ya kubaki msela ila kuzaa na mume wa mtu hata kwa ruhusa ya mke sitaki....besides, i won't need to!!
Lizzy,Nnunu hapo juu naona anataka kunila nyama mpaka kanishtaki kwa wadau wengine.Mwambie a chill bana haya mambo ni ya kawaida mbona.Kuliko ubaki huna mtoto si bora wa kuchakachua na kama una hela yako si unalea mwenyewe? Kikubwa usimsumbue mama chanja wa jamaa kwa kumpigia simu za matusi au kuomba hela ya maziwa.
 
nitampisha alee watoto wake tena ikiwezekana awalete na mama zo humohumo waishi wote
ya nini presha wakati nahitaji kuishi ,akumi yangu 7, akaa
 
Lizzy,Nnunu hapo juu naona anataka kunila nyama mpaka kanishtaki kwa wadau wengine.Mwambie a chill bana haya mambo ni ya kawaida mbona.Kuliko ubaki huna mtoto si bora wa kuchakachua na kama una hela yako si unalea mwenyewe? Kikubwa usimsumbue mama chanja wa jamaa kwa kumpigia simu za matusi au kuomba hela ya maziwa.

Sasa kama nalea mwenyewe kuna haja gani ya kusumbuka na mume wa mtu wakati mabachela wapo kibao?
 
Utafanyeje ukigundua kuwa mumeo ana watoto wawili nje aliozaa na changudoa na mwingine kazaa na baa medi?

Nazjaz hujasema kama hawa watoto wamezaliwa ndani ya ndoa au ni kabola hajaoa huyu baba.

Kwa kweli mume atembee tu nje, akizaa regardless kazaa na nani, ni bonge la noma. Sijuhi nita react vipi kwa kweli kwani najaribu kupiga picha inagoma kabisa kuja aisee.

nyumba kubwa mbona mie sielewi?? kwani huyu baba kazaa na hao akiwa tayari kaoa? Duh uzee wangu sasa umezidi
 
Back
Top Bottom