swali kwa kina dada peke yao!

nanchi

Member
Jan 29, 2012
66
7
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae penda kweli? Kwa utaalamu wenu mnavyoona.na ni kweli mwanamke ndie anaepata raha zaidi mnapokua kwenye msuguano hadi kufika kileleni?
 
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae penda kweli? Kwa utaalamu wenu mnavyoona.na ni kweli mwanamke ndie anaepata raha zaidi mnapokua kwenye msuguano hadi kufika kileleni? Mm bado mdogo naomba kujua wakina dadaz.
sasa mdogo unatafuta nini hapa? kafanye homework huko
 
Ushauri wa bure!
Huwezi kupata majibu sahihi ya swali la aina hiyo ukitaka ujibiwe na wadada tu.
Ni ushauri tu, waweza kuutupilia mbali!
 
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae penda kweli? Kwa utaalamu wenu mnavyoona.na ni kweli mwanamke ndie anaepata raha zaidi mnapokua kwenye msuguano hadi kufika kileleni? Mm bado mdogo naomba kujua wakina dadaz.

Mie mdada..

Kwenye mahusiano wote mnaweza kuwa wakweli na kupenda..vilevile inaweza kutokea mmoja wapo ana mapenzi ya kweli wakati mwingine ni mzugaji..ila haimaanishi wanawake ndiyo wakweli peke yao..kuna wanaume wakweli.
Raha muhimu mpate wote kwenye ile shughuli..mfikishe akufikishe yaani mfikishane kilele cha kibo!
 
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae penda kweli? Kwa utaalamu wenu mnavyoona.na ni kweli mwanamke ndie anaepata raha zaidi mnapokua kwenye msuguano hadi kufika kileleni? Mm bado mdogo naomba kujua wakina dadaz.

Halafu ikusaidie nini na we bado mdogo?
 
Ushauri wa bure!
Huwezi kupata majibu sahihi ya swali la aina hiyo ukitaka ujibiwe na wadada tu.
Ni ushauri tu, waweza kuutupilia mbali!

Ahsante kwa ushaur paka hebu tusaidiane kwa wote huenda nikapata kitu kitamu zaidi
 
Sio kweli. .
Yeyote yule anaweza akawa mkweli maana inatokana na tabia ya mtu na sio jinsia.
 
Back
Top Bottom