Swali kwa kaka Zitto na Dr. Slaa

Hamna haja ya kuuliza vazi la taifa kwani vazi la taifa ni magwanda kwani stl 2po vitani dhidi ya ufisadi.
 
sasa hayo maswali Sr. si anaweza kukujibu hata Malaria Sugu?
Mbona unauliza maswali mepesi kwa watu vichwa,hazina ya akili na busara ya Taifa letu kama Zitto na Slaa?unataka kuchezea resources siyo?
Walau ungewauliza kuhusu huduma mbalimbali kwanini tunathaminishiwa kwa dola ndiyo tunalipa madafu,kidoogo ningekuelewa.. Sr bana..
 
Magwanda wanapopingana wao kwa wao! Mimi napita tu jamani, nitarejea kuona kama wamekujibu dada Magdalena.
 
Back
Top Bottom