Elections 2010 Swali kwa JK atueleze kuhusu mahakama ya KADHI na OIC

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Kesho anakutana na waandishi wa habari swali langu ni hili:-

Ilani ya uchaguzi ya Mwaka 2005 alisema once akichaguliwa kuwa rais ataingiza mahakama ya KADHI na kujiunga na OIC, miaka mitano imepita bila chochote, je nini msimamo wake juu ya hili na kwa nini Ilani ya mwaka huu haizungumzii kabisa maswala ya mahakama ya KADHI na OIC?
 
Back
Top Bottom