Swali kwa Hando na Pj Clouds

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu nina maswali muhimu ningependa mnijibu
mimi sio nsikilizaji wa radio yenu lakini leo kwa bahati nilijikuta ninasikiliza kipindi chenu cha magazeti
kitendo mlichofanya na kashfa zenu hasa juu ya wapinzani ndio zimepelekea mimi kutua hapa jf na kuwauliza maswali mawili matatu kwa sababu hamkosekani hapa jamvini
huyo pj alipoanza kusoma magazeti alichukua gazeti la habari leo na kusoma report inayomuhusu Dr Slaa\
kwa kweli habari ilivyokaa na jinsi mlivyoshabikia mimi binafsi nilijisikia vibaya sana,inaoneka live kabisa hamumpendi Dr slaa na upinzani kwa ujumla wake
Hando kwa kuongezea chumvi aliongea kwa madharau na kusema (huyu mzee bana)

swali:
hivi wakuu hiyo kampuni mnayofanya kazi hapo ni mali ya serikali??
hivi kuna faida yoyote mnayopata kwa kuukashifu upinzani?
hivi mnajua mnasikilizwa na watu tofaouti wenye itikadi tofauti za kisiasa?
hivi mnajua kwamba mnafanya kazi public radio?
hivi mishahara ya 175,000 mnayopewa na huyo muhaya mnaona mmefika?
hamjui hiyo hela sisi wengine ni matumizi yetu ya siku moja?
kwa kuendelea kushabikia ccm mkiwa hapo kwenye public radio mnapata faida gani?
mnadharu mfumo mzima wa siasa na demokracia ndani ya taifa letu?

labda niweke wazi tu kwamba nawafahamu vizuri sana nyie,juzi pj ulikuwa unagraduate na ki-degree chako feki na mimi nilikuwepo,na nilikaa karibu kabisa na wewe,hali yako hairidhishi hasa kiafya,unatia huruma mkuu,kuna kiarufu fulani unatoa ambacho kilitukera wengi,kwa ujumla mkuu huna mbele wala nyuma,muhaya akikufukuza wewe utatembea na ndala

mkuu hando nakupata mahali unaishi,majirani zako wanalalamika sana kuhusu mfumo mzima wa maisha yako,usiku kucha hauishi kujikuna,tatizo ni nini mkuu?huoni kama na wewe unaishi maisha ya dhiki tu?familiya tunaijua jinsi inavyoganga njaa,
nasema hivi nitatoa yote hapa yanayowahusu yale ya siri kabisa, (si mnayajua?)endeleeni na huo upuuzi wa kujipendekeza tuone mwisho wake
 
Radio ya wafu kwa ajili ya wafu...potezea ujinga wao, acheni kuwasikiliza, mbona mimi nikiwa hapo Dar siwezi kusikiliza clouds Fm wala Uhuru FM , sawa nikiwa Morogoro siwezi kusikiliza upupu wa Iman FM
 
Hawana jipya hao radio ya wafu, si wanamfanyiaga Birthday mkwerè kila mwaka..jamaa wanajipendekeza kinoma.
 
hiyo redio inasikilizwa na wafu wa fikra na mtazamo, watu hai rulisha ipuuza muda mrefu. waacgeni wafu wawazike wafu wenzao
 
hivi hawa ni wanaume au ni wakiume? maana wakikaa kupiga domo pale cloudsfm hawana tofauti na akina mamawa uswahilini. nadhani hawa ni mashoga, na wazirimkuu wa uingereza alikuwa anawalenga wao alipotoa shart lao la kupokea misaada.sidhani mwanaume timamu akawa anaongea udakuto that extend while anajua watu wa rika,elimu na itikadi mbalimbali wanamsikiliza.
 
Wandugu,msiwalaumu hao. Vyombo vingi vya habari hapa Tz wafanyakazi wake wanafanya anavyotaka mmiliki. Angalia Tbc,ITV,nk. Hayo ni mapungufu. Tumlaumu mmiliki wa Clouds kwa kujipendekeza kwa baadhi ya viongozi wa Serikali na kusahau journalism ethics. Nasema baadhi sababu hata hapo Clouds kuna viongozi wanaofagiliwa na kuna ambao wana potezewa. Muwahurumie pia kwani wengine hapo elimu yao ni tia maji tia maji kiasi wakitoka hapo hawana pa kwenda kwengine.
 
Clouds FM inapoteza umaarufu wake kwa kasi ileile ambayo CCM inavyopoteza umaarufu!
 
Episode, wewe ulikuwaga mr Punch nini?!, ni PM tafadhari ili tuanzishe blog ya kuwaumbua iresponsible celebs.
Wakuu nina maswali muhimu ningependa mnijibu
mimi sio nsikilizaji wa radio yenu lakini leo kwa bahati nilijikuta ninasikiliza kipindi chenu cha magazeti
kitendo mlichofanya na kashfa zenu hasa juu ya wapinzani ndio zimepelekea mimi kutua hapa jf na kuwauliza maswali mawili matatu kwa sababu hamkosekani hapa jamvini
huyo pj alipoanza kusoma magazeti alichukua gazeti la habari leo na kusoma report inayomuhusu Dr Slaa\
kwa kweli habari ilivyokaa na jinsi mlivyoshabikia mimi binafsi nilijisikia vibaya sana,inaoneka live kabisa hamumpendi Dr slaa na upinzani kwa ujumla wake
Hando kwa kuongezea chumvi aliongea kwa madharau na kusema (huyu mzee bana)

swali:
hivi wakuu hiyo kampuni mnayofanya kazi hapo ni mali ya serikali??
hivi kuna faida yoyote mnayopata kwa kuukashifu upinzani?
hivi mnajua mnasikilizwa na watu tofaouti wenye itikadi tofauti za kisiasa?
hivi mnajua kwamba mnafanya kazi public radio?
hivi mishahara ya 175,000 mnayopewa na huyo muhaya mnaona mmefika?
hamjui hiyo hela sisi wengine ni matumizi yetu ya siku moja?
kwa kuendelea kushabikia ccm mkiwa hapo kwenye public radio mnapata faida gani?
mnadharu mfumo mzima wa siasa na demokracia ndani ya taifa letu?

labda niweke wazi tu kwamba nawafahamu vizuri sana nyie,juzi pj ulikuwa unagraduate na ki-degree chako feki na mimi nilikuwepo,na nilikaa karibu kabisa na wewe,hali yako hairidhishi hasa kiafya,unatia huruma mkuu,kuna kiarufu fulani unatoa ambacho kilitukera wengi,kwa ujumla mkuu huna mbele wala nyuma,muhaya akikufukuza wewe utatembea na ndala

mkuu hando nakupata mahali unaishi,majirani zako wanalalamika sana kuhusu mfumo mzima wa maisha yako,usiku kucha hauishi kujikuna,tatizo ni nini mkuu?huoni kama na wewe unaishi maisha ya dhiki tu?familiya tunaijua jinsi inavyoganga njaa,
nasema hivi nitatoa yote hapa yanayowahusu yale ya siri kabisa, (si mnayajua?)endeleeni na huo upuuzi wa kujipendekeza tuone mwisho wake
 
Kwanza kabla sijaamua kuchangia hii thread nataka kujua huyu alianzisha hii thread ni jinsia gani?

Ngoja nikuulize swali, hivi wale wote wanaomsema Dr Slaa wote wanatoa harufu na kujikuna?

Halafu kuanzia leo PJ na Hando wakiamua kumsifia Dr Slaa watapona hivyo vitu ulivyovitaja?

Halafu wewe hata ukijisaidia haja kubwa kinyesi chako ni Keki ya taifa
 
Eeeee hongera Ritz kwa kumueleza huyu Mr (I guess) episode!

Inaonyesha dhahiri kwamba ana chuki fulani na Clouds labda na huyo PJ na hasa kwa kupata hiyo degree inayomuuma na kuiita feki. Ikiwa na yeye aligraduate kwa hivyo na ya kwake ni feki au nini?

Huu ujinga mwengine bwana sijui ndiyo hao munaowaita masharobaro, eti kiharufu, wewe kijana unapita pita kunusa kwapa za watu au vipi maana mambo mengine yanashangaza kweli mtu kuandika humu kwenye jf.

Ikiwa hupendelei Clouds si ubadilishe tu utafute hiyo radio inayowasifia akina Slaa na wenzake.

Mimi siwafahamu hao wa Clouds wala huyo mwenye radio lakini ujinga wa vijana wengine unachosha kwa kweli.
 
Kwanza kabla sijaamua kuchangia hii thread nataka kujua huyu alianzisha hii thread ni jinsia gani?

Ngoja nikuulize swali, hivi wale wote wanaomsema Dr Slaa wote wanatoa harufu na kujikuna?

Halafu kuanzia leo PJ na Hando wakiamua kumsifia Dr Slaa watapona hivyo vitu ulivyovitaja?

Halafu wewe hata ukijisaidia haja kubwa kinyesi chako ni Keki ya taifa

Ukiona tu issue ya cdm lazima uidandie..
 
hii redio inalalamikiwa sana na wapinzani kuliko hata tbc na uhuru,.tatizo ama ni wao au nyinyi mnaoisikiliza.
 
Kwanza kabla sijaamua kuchangia hii thread nataka kujua huyu alianzisha hii thread ni jinsia gani?

Ngoja nikuulize swali, hivi wale wote wanaomsema Dr Slaa wote wanatoa harufu na kujikuna?

Halafu kuanzia leo PJ na Hando wakiamua kumsifia Dr Slaa watapona hivyo vitu ulivyovitaja?

Halafu wewe hata ukijisaidia haja kubwa kinyesi chako ni Keki ya taifa
KIJITI kitawahusu wasaliti wooote!
 
tatizo vyombo vingi vya habari hapa nchini, watangazaji wao hawanafikra zao wenyewe mara nyingi wanafuata maoni ya watu. Najitahidi kufuatilia habari za nje na ndani, kwenye mijadala inayohusu tasinia ya habari wanasema wandishi wetu hawana ethics za uanahabari so hawa jamaa msiwashangae sana wote ndivyo walivyo
 
Kwa kweli clouds ni radio nzuri tatizo watangazaji. Na ndy radio inayoongoza kwa kukiuka maadili ya vyombo vya habari.
 
inasemekana kuna watangazaji wa clouds ambao ni watoto wa david cameroon

inawezekana pj na hando ni baadhi yao
 
Back
Top Bottom