pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,593
- 2,978
NAMUUNGA MKONO mpangamji!!
Mgongee thanks basi Mkuu
NAMUUNGA MKONO mpangamji!!
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.
Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.
Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.
Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,
Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
VFL - Value for life.
Hata ukifanya yote hayo unayoshauri huwezi kuiondoa CCM bila kuwa na katiba mpya. Katiba mpya inayotoa uwanja sawa kwa wagombea wote (hata wagombea binafsi) na kuhakikisha haki sawa katika kupiga kura, kuzihesabu na kutangaza matokeo. Vinginevyo hakuna kitu CCM itaendelea tu kutawala tu milele.
Hoja nzuri.
Watawala hawawezi kutengeneza mazingira neutral ambayo yatawatoa madarakani. Historia sehemu nyingine (mifano na hakika unayo) inaonesha non violent movement inaenda na watu kupoteza maisha in the process sababu dola lazima itapinga. Kwa hiyo kwa sasa Tanzania tufikirie non violent movement lakini tuwe tayari kupambana na dola na kuwapoteza ndugu zetu. Tushirikishe zaidi wasomo ambao jumuiya ya kimataifa inawasikiliza
hoja nzuri.
Watawala hawawezi kutengeneza mazingira neutral ambayo yatawatoa madarakani. Historia sehemu nyingine (mifano na hakika unayo) inaonesha non violent movement inaenda na watu kupoteza maisha in the process sababu dola lazima itapinga. Kwa hiyo kwa sasa tanzania tufikirie non violent movement lakini tuwe tayari kupambana na dola na kuwapoteza ndugu zetu. Tushirikishe zaidi wasomo ambao jumuiya ya kimataifa inawasikiliza