Swali kuhusu:Muungano wa vyama vya Demokrasia Afrika(DUA)

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu,hivi kikao cha muungano wa vyama vya demokrasia afrika kinachoendelea jijini dar kikishirikisha vyama toka nchi 22 chini ya uenyeji wa BAVICHA huhusisha vyama vya upinzani pekee?kama jibu ni ndiyo inamaana ni justfied kuwa vyama vilivyo madarakani afrika havina demokrasia?!na kama jibu ni hapana,hapa kwetu UVCCM wanawakilishwa na nani,maana chadema tumewasikia kina heche,zitto,deo wakitema cheche.
 
Back
Top Bottom