Swali kuhusu mtoto

Ok sawa kabisa naamini hata kuto kujibu na kwenyewe ni jibu!!!

mmetoa kashfa kibao bila hata kujua nia ya swali...Hili swali tuliulizwa kanisani wengi walijibu majibu yao na majibu kama yenu yalikuwepo

Nikamuuliza mchungaji nini maana ya majibu hayo? akasema

1)UKICHAGUA JIBU LA KWAMBA UPATE MTOTO MZURI ILA AFE IN 20's inamaana kuwa
-wewe ni muuuaji
-Unapenda rahaa tu bila kupitia majaribu
-u r so selfish,unajifikiria mwenyewe tu

2)UKICHAGUA KUWA UMPATE ALIYE MTUKUTU maana yake ni
-Kwanza si muuaji
-upo tayari kujaribiwa
-unakubaliana na matakwa ya mungu na matakwa yako.

ok, kwa walio sema teenager au sijui jero ya internet cafe,mara nenda skuli dah!! wake up guys
Si lazima kujibu..Ni vizuri kufunga bakuli lako.

thats it!!
thnx i neva thought of dat...huyo mchungaji ni a big thinker wa ukwee,to u,...MASHAROBARO TUPO JUU!

to others,...i cnt c any reason of kumponda sharobalo,he juc wanted us kuchemsha bongo...ukiona kweli hapa jf hakuna cooperation,datc nt a courteous way of commenting then it cmz lyk dic z a place full of majungu...some of u guyz mnatuma likes kwenye posts zilizotumwa na haohao teenagers,..cnt u realyz dat they are uzful?:shut-mouth:...mngemueleza hakuna shida ya kumuita o'level,...
 
kwa hiyo umewauliza swali ambalo tayari unajua jibu lake? lengo lako uwatege wan JF..........:becky:
 
uctuseme ndg...kwan we a'level?specify plz...,tumejazana humu kulijenga taifa la kesho..:A S 100:

Taifa gani utakalolijenga ww? wakati cheti ch form4 huna! mnaacha kujisomea na kwenda twisheni mnaingia jf kuchangia upuuzi ......
 
Back
Top Bottom