I IshaLubuva JF-Expert Member Dec 4, 2008 250 11 Mar 22, 2010 #1 Mgonjwa anayeumwa kikohozi na/au mafua anaweza kukumbwa na madhara yoyote iwapo akimeza makohozi/makamasi yake wakati akikohoa?
Mgonjwa anayeumwa kikohozi na/au mafua anaweza kukumbwa na madhara yoyote iwapo akimeza makohozi/makamasi yake wakati akikohoa?