Swali;kesi ya mkenya aliyejisalimisha kanisani kuwa alimtesa dr. Ulimboka imeishia wapi?

Kimagege

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
283
88
wanajamvi naomba anayefahamu mwenendo wa kesi ya yule mkenya joshua gitui aliyejisalimisha kanisani akikiri mwenyewe kumteka na kumtesa dr ulimboka atujuze tafadhali.
 
Nasikia huyo mtuhumiwa alishaachiwa siku nyingi,so hapo hakuna kesi tena inayoendelea!
 
Si ilisemekana yule alikuwa mgobjwa wa akili mkuu?..Uliona wapi mtesaji, akajisalimisha mwenyewe tena kipindi ambacho anajua anayafutwa mkuu?
i think ilikuwa "danganya toto"..na since toto(watanzania) ashadanganyika kwa kusahau, mambo yanakwenda!
 
Subiri namuuliza kova nakujibu sasa ivi.... Kova.kova.kova, ova.' nakupata kamanda endelea... Kuna mtu anaulizia ile muvi ya m. K imeishia wapi..? Ova. Subiri kamanda nimuulize mkuu anipe majibu ya kukupa ova,... Haya nazani umemsikia sasa subiri kama wafuasi wa kibwetere na usipoangalia utakufa ukisubiri. Note. Hizi muvi za viwango hivi zinapatikana tanzania tu, again only in tz.
 
Kaole sanaa group.
Hivi hili kundi asili yake wapi? Sio kule kule kwa Msanii J.K? Kwahiyo na hii issue imepotea kiaina kama Muhogomchungu alivyopotea kwenye sanaa za maigizo? Dah! Bagamoyo ni wabaya????????!!!!!!!!!!!!
 
Subiri namuuliza kova nakujibu sasa ivi.... Kova.kova.kova, ova.' nakupata kamanda endelea... Kuna mtu anaulizia ile muvi ya m. K imeishia wapi..? Ova. Subiri kamanda nimuulize mkuu anipe majibu ya kukupa ova,... Haya nazani umemsikia sasa subiri kama wafuasi wa kibwetere na usipoangalia utakufa ukisubiri. Note. Hizi muvi za viwango hivi zinapatikana tanzania tu, again only in tz.
Perferct! Kuna kitu hawa watatu (JK, Mwema na Kova) wana-share ambacho mwenye kesi (Dr. Uli) hana! Ukikigundua ndio utajua sababu za hii movie kuanza kufifia wakati trailer yake ilikuwa inavutia! Kwakweli Watz ni mojawapo ya maajabu nane ya Dunia!
 
Back
Top Bottom