Swali jepesi kwa wanazi wa CHADEMA

Hivi kweli mtu ambaye unajihita great thinker unaweza kaa ukaandika makamasi kama haya? Kwanini watanzania mnapenda kkupoteza muda kwa kuandika mambo yasiyo na tija kwa taifa hili? Umaskini wetu unachangiwa kwa karibia asilimia 20 kwa kupoteza muda na kufanya mambo ya kipuuzi kama haya. Nenda kajifunze kuandika kama mtu mwenye akili timamu.

Haujajibu swali. pls jibu pia elewa hakuna swali la kupuuzi bali kuna majibu ya kupuuzi
 
CDm ni chama cha ukanda na kama wewe si mkanda wa kaskazini basi utaishia kupiga debe tu. Ukifika kwenye CC yao wanakupiga chini. Angalia Zitto alivyokuwa anagombea uenyekiti kilichomtokea je ndio atake urais? watamvua uanachama.

Kingine Muasisi wao mzee wa Udini hatokubali atadai Rais ajae lazima awe wa dini tofauti na Rais anayemaliza muda wake. Mnyika atakuja anasema hiyo sio kauli ya Chama. Kazi kweli kweli! Leo tumeona makamu wa Bavicha akidai ya bosi wake kuhusu Shibuda sio ya Bavicha ni yake binafsi mwisho anamalizia barua iliandikwa na mtu wa makao makuu!

Huitaji kuwa na akili za ziada kujua aka kamchezo
 
Hivi kwa nini Pro-Chadema JF hawamtaki Zitto Kabwe?
acha udomo kaya aliyekwambia pro chadema wa hapa jamvini hawamtaki ZITTO ninani tumeshakwambia kama chama wakati ukifika na kama katiba mpya itakuwa inaruhusu akipitishwa na cha tutamkubali kwani ni jembe siumeona JK mpaka kawaondoa mawazili CHADEMA,ZITTO ni kiboko ya kijani(gambaziiiii)
 

Acha siasa za majitaka za UKANDA! Mbowe na Zito nani makini kiongozi?? Sababu gani mlipitisha 2005 Mbowe kugombea URAIS, CDM kwa ukabila na udini wapo mbele
I see, kwa hiyo wewe unaona akili ya Zitto ni makini kuliko Mbowe? Hivi mnapofanya judgement ya uwezo wa mtu huwa mnaangalia nini? Zito ni mwanamapinduzi na mpambanaji, anyefaa kuwachallenge walio juu yake lakini si yeye kuwa top leader.
 
Tunampenda lakini umri utakuwa bado

Umri kwa sasa sio tatizo, moja ya kipengele cha katiba mpya itakuwa ni kupunguza mtu anaefaa kuwa Rais kufikia miaka 30 na pengine iwe chini ya hapo, nadhani 25 ni fair enough. Na hili ni jambo moja ntalowakumbusha wana kamati wa katiba mpya walitilie maanani.
 
Nawaasa ndugu zangu woote wapenzi na wanachama wa CHADEMA muda huu sio wa kupoteza kwa ajili ya watu wajinga kama SHIBUDA na wale wenye mawazo kama Magale shibuda wanao jaribu kupoteza muda wa watanzania ambao wanaendelea kupata taabu kupitia chama cha CCM miaka 50 iliyopita wakisubiri maajabu ya (Mussa) endapo wao wameneemeka tayali basi tunawaomba warudi huko huko walipotoka chama makini kwa muda huu kinajenga nguvu ya kushika dola tu 2015 shibuda kuona alichaguliwa na Wasukuma anajiona tayali anaweza kuwa Rais wa watu zaidi milioni 40 bila kujenga msingi imara ya kutawala anajiona akisikika redioni magazetini yeye tayali ni rais nawaomba tuachane naye utaratibuu wa Mgombea binafsi uanakuja atagombea kupia huko wenzake wanajitahidi kukijenga chamaaaaaaaaaaaaaaaa yeye anafanya juhudi za kubomoa akitumwa na hao wanaomwongopea urais.tunamuomba aje basi katika mkutano wa Jumamosi Jangwani atwambie alivyo na nia ya kugombea Urais. Mujwahuzia
 
Back
Top Bottom