Hivi Zito Kabwe ana akili ya kutosha kuwa Rais wa nchi? Sijajua, nafikiri kwenye urais kunahitaji hekima nyingi sana. Otherwise we can end up having a rubbish leadership like that of Jakaya.
Acha siasa za majitaka za UKANDA! Mbowe na Zito nani makini kiongozi?? Sababu gani mlipitisha 2005 Mbowe kugombea URAIS, CDM kwa ukabila na udini wapo mbele
Strategy ya siasa hauijui, si kama unavyotaka wewe. Strategy sio ku compete na wapinzani, strategy ni kukubalika na wapinzani na kupata kura za baadhi yao, kwani kura zenu pekee hazitoshi. Kumbuka hili darsa la bure nililokupa wewe na nna uhakika viongozi wako watafaidika nalo pia.
ZZK ana tatizo kubwa sana la "Identity" na hivyo hawezi kukubalika CDM
Huyo ni Zitto, mimi nauliza wanazi wa chadema.
Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
CCM wakitaka kuheshimika miongoni mwa wananchi wanaotumia mitandao ya kijamii kama JF, wangetafuta watu wenye vichwa safi, then wawape shule nzuri, then ndio wapewe kazi hii....HAtukubali.........kwanza MUISLAM,pili HATOKI KASKAZINI
Haya ndio majibu ya wanazi wa chadema, yasomeni vizuri, mtawaelewa tu ni watu wa aina (or is it kanda) ipi.
Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
Hivi kwa nini Pro-Chadema JF hawamtaki Zitto Kabwe?
Tutajie sifa za kumdisqulify.
Ama kweli kama unauza utumbo usiogope nzi,Urais siyo taasisi ya mtu au kikundi fulani so long as chama kikimteua atagombea, so rudi utazame katiba za vyama na acha uvivu wa kufikiri, cyo lazima uelezwe kila kitu ndugu yangu.Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
1. Hajatimiza umri wa kuwa mgombea urais kama katiba ya nchi inavyotaka.
2. Urais unataka Mtu mwenye uwezo wa kufikiri na kuamua kwa utaratibu Hekima na Busara Zitto bado anajaziba na maamuzi yanayokosa busara,
3. Zitto Kabwe Haaminiki kwa maana ya kwamba ni raisi kununuliwa na kutumiwa
4. Ni mtu mwenyekukurupuka kama ilivyo kwa vijana kuwa na jaziba ya kuona wako sahihi sana kumbe hapana
5. Hana sifa ya kuwa mgombea kwa kua wapo walio na sifa nyingi na nzuri zaidi kuliko Zitto
6. Zitto hana sifa coz amekuwa ni sehemu ya migogoro ktk CDM yaani Haisaidii CDM kujijenga,