Swali: Je wangapi waliona helcoper zetu za polisi na jeshi wakati wa G'MBOTO?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Naomba msaada, mimi siishi huko Gongo of Mboto?

Je ni wangapi mumeona helicopter za polisi au JWTZ zikitafuta watoto waliopotea kwenye mabonde au vichaka?

Nafuta sababu ya kuwahurumia Dr. Mwinyi, Mr. Nahodha; kama wameonyesha simpathy kwa vitendo baada ya tukio.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Helicopter kwenye makombora tena?? ....au umeshasahau sababu ya uwanja wa ndege kufungwa?

Ingawaje BM 21 ni kwa ajili ya kuangamiza adui wa mbali lakini pia zinaweza hata kutumika kutungua ndege zinzoruka karibukaribu kama helicopters...
 
Mkuu umeibua suala muimu, kukosekana kwa hizo helikopta ni kielelezo kizuri kinacho dhihirisha kwa upande mmoja ni kwakiwango gani vyombo vyetu havijajiandaa kukabiliana na matukio ya dharula; na kwa upande mwingine ni mwendelezo wa tabia ya watendaji wakuu serikalini kuwapuuza raia wakati wanapopata matatizo. Nitoe mfano, idadi ya wamerikani ni takribani watu 250 milioni, na watu hao wanatembea sana sehemu mbali mbali duniani. hata hivyo,muamerika yeyote, bila kujali nafsi yake katika jamii akipatikana na tatizo popote duniani, serikali yake itafanya kila njia kumsaidia. Kwetu sisi watanzania walioko huko nje wakipata shida yeyote hakuna anayewasaidia. wakati mwingine nashindwa kuelewa mantiki ya kuwa na pasi ya kusafiri ya Tanzania.
 
Common sense ni jibu la hoja yako.Nadhani hata ndege zilizuiwa kuruka past maeneo hayo for the same reason.
 
Kwa sasa ndege zaruka, mimi ni mkazi wa maeneo ya Goms na nashuhudia ndege zikipaa na kutua kupitia radar iliyopo Majohe.
 
Kwa sasa ndege zaruka, mimi ni mkazi wa maeneo ya Goms na nashuhudia ndege zikipaa na kutua kupitia radar iliyopo Majohe.

Naam nakupata sana! sizungumzie wakati mabomu yakilipuka.... bali baada ya kutulia na kutafuta wahanga!!! Kumbuka wahanga walikuwa wanapatika nje ya perimeter ya mabomu... maeneo ambayo ni zaidi ya 25KM.
 
mi naitwa MAHESABU...ila wewe waitwa KASHESHE.......bila kutumia mahesabu katika sakata zima kutaibuka kasheshe goms....nashauri helikopta zisitumike......na watoto wataonekanaje kwa kutumia helikopta?
 
imagine jam iliyosababishwa na tukio,njia rahisi na ya haraka ya kuwafikia waathirika ni helcopter ndugu.
 
Naam nakupata sana! sizungumzie wakati mabomu yakilipuka.... bali baada ya kutulia na kutafuta wahanga!!! Kumbuka wahanga walikuwa wanapatika nje ya perimeter ya mabomu... maeneo ambayo ni zaidi ya 25KM.

mkuu kasheshe ... naona wewe bado anapenda kasheshe ... mabomu yamelipuka mpaka kimara na kiluvya ... hali bado siyo salama ... tungekuwa na tabia za kuwa na utaratibu wa kubashiri hatari kabla na baada tungesema the threat level is high ...sasa unataka haya mabomu yalipukie helicopter tena ... hata hivyo sioni kama kunamahitaji ya rescue operation kwa kutumia helicopter .... labda baada ya muda ndipo helicopter zianze ku locate mabomu ambayo hayaja detonate
 
Acha mambo ya kishamba sawa?helcopter yenyewe tunayo moja tu tena kuukuu
 
imagine jam iliyosababishwa na tukio,njia rahisi na ya haraka ya kuwafikia waathirika ni helcopter ndugu.

embu tumieni commonsense kidogo acheni kulipuka tu, copter kwenye slams?????
Acheni kuigiliza sinema hapa, pia umesema magari yalizuiwa, sasa hizo copter ndio zingeruhusiwa????
lets be serious ppo.
 
embu tumieni commonsense kidogo acheni kulipuka tu, copter kwenye slams?????
Acheni kuigiliza sinema hapa, pia umesema magari yalizuiwa, sasa hizo copter ndio zingeruhusiwa????
lets be serious ppo.

helicopter inatua hata kwenye mti,kumbuka mafuriko ya zimbabwe.inaelekea helcopter huijui wewe,helicopter inapita angani magari yanapita ardhini kwa hiyo kuzuiliwa kwa magari haiwezi kuzuia helicopter.
"Tumia akili zako wewe"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom