Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

ndai

Member
Jun 21, 2014
25
10
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar!

Jambo Lenyewe Ni Kua Kihistoria Znz Ilikua Nchi Ilopiga Hatua Africa Masharik, Wakat Huo Hata Kabla Ya Ujio Wa Sultan Visiwan Humo! Kuna Ushahid Kua, Technologia Ya Kutumia Taa Za Barabarani Zilitumika Zanzibar Karne Ya 18 Hata Kabla Ya Marekani! Kikubwa Zaidi, Zanzibar Ilikua Dola Iliyokua Chini Wa Utawala Wa Malkia "Balkis" Wa Eithopia. Enzi Za Nabii Suleimani:

Kama Kuna Mtu Anakumbuka Kisa Cha Hudihudi Atakubaliana Na Mm Kua, Wakati Wa Mkutano Wa Nabii Suleiman, Ndege Hudihudi Alikua Sehem Ya Mashariki, Ambapo Jua Huchomoza Kuwahi, Huko Watu Wanaabudia Jua Wakiongozwa Na Malkia, Yani Malkia Balkis.

Ndugu Zangu Wana Jamii, Zanzibar, Pemba, Kuna Sehemu Inaitwa "Muswalli:, Hapo Ndio Sehemu Ambapo Nabii Suleimani Na Watu Wake Walifikia, Na Kufanya Ibada(kuswali) Ya Mwanzo Visiwani Humo!. Kwa Mwenye Kuchimba, Anayajua Haya" Thanx.
 
Poa mkuu historia nyingi imefichwa huko visiwani hadi sasa watoto wanajua kua alieongoza mapinduzi ya 12 january kuwa ni Karume kumbe hamna kitu ni Okello wa Uganda nadhani ni mda muafaka wa kuwaambia watoto ukweli.
 
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar! Jambo Lenyewe Ni Kua Kihistoria Znz Ilikua Nchi Ilopiga Hatua Africa Masharik, Wakat Huo Hata Kabla Ya Ujio Wa Sultan Visiwan Humo! Kuna Ushahid Kua, Technologia Ya Kutumia Taa Za Barabarani Zilitumika Zanzibar Karne Ya 18 Hata Kabla Ya Marekani! Kikubwa Zaidi, Zanzibar Ilikua Dola Iliyokua Chini Wa Utawala Wa Malkia "Balkis" Wa Eithopia. Enzi Za Nabii Suleimani: Kama Kuna Mtu Anakumbuka Kisa Cha Hudihudi Atakubaliana Na Mm Kua, Wakati Wa Mkutano Wa Nabii Suleiman, Ndege Hudihudi Alikua Sehem Ya Mashariki, Ambapo Jua Huchomoza Kuwahi, Huko Watu Wanaabudia Jua Wakiongozwa Na Malkia, Yani Malkia Balkis. Ndugu Zangu Wana Jamii, Zanzibar, Pemba, Kuna Sehemu Inaitwa "Muswalli:, Hapo Ndio Sehemu Ambapo Nabii Suleimani Na Watu Wake Walifikia, Na Kufanya Ibada(kuswali) Ya Mwanzo Visiwani Humo!. Kwa Mwenye Kuchimba, Anayajua Haya" Thanx.
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco
 
Hahaaaa Pasco
 
Last edited by a moderator:

umesikiliza hizi episodes au?

https://www.youtube.com/watch?v=ug9DRbYsqw0

https://www.youtube.com/watch?v=rofyLhWbRZQ

https://www.youtube.com/watch?v=51qvTBACpj8

https://www.youtube.com/watch?v=EWrgEA6eIb4
 
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar! Jambo Lenyewe Ni Kua Kihistoria Znz Ilikua Nchi Ilopiga Hatua Africa Masharik, Wakat Huo Hata Kabla Ya Ujio Wa Sultan Visiwan Humo! Kuna Ushahid Kua, Technologia Ya Kutumia Taa Za Barabarani Zilitumika Zanzibar Karne Ya 18 Hata Kabla Ya Marekani! Kikubwa Zaidi, Zanzibar Ilikua Dola Iliyokua Chini Wa Utawala Wa Malkia "Balkis" Wa Eithopia. Enzi Za Nabii Suleimani: Kama Kuna Mtu Anakumbuka Kisa Cha Hudihudi Atakubaliana Na Mm Kua, Wakati Wa Mkutano Wa Nabii Suleiman, Ndege Hudihudi Alikua Sehem Ya Mashariki, Ambapo Jua Huchomoza Kuwahi, Huko Watu Wanaabudia Jua Wakiongozwa Na Malkia, Yani Malkia Balkis. Ndugu Zangu Wana Jamii, Zanzibar, Pemba, Kuna Sehemu Inaitwa "Muswalli:, Hapo Ndio Sehemu Ambapo Nabii Suleimani Na Watu Wake Walifikia, Na Kufanya Ibada(kuswali) Ya Mwanzo Visiwani Humo!. Kwa Mwenye Kuchimba, Anayajua Haya" Thanx.

Pamoja na kwamba naweza kuamini ukisemacho (cause historia ya Zanzibar imechakachuliwa sana, refer kwa mtu aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar) lakini hapo kwenye bold siamini kabisa, yawezekana kweli mfalme Sulemani aliwahi kuja Zanzibar (though kwenye historia yake tokea anazaliwa hadi anakufa haijawahi kurekodiwa kwamba amewahi kuja Kushi/Africa ingawa malkia wa Kushi/Ethiopia amewahi kwenda kwake) lakini suala la kuabudia nje ya Israel ninakukatalia, enzi za agano la kale Waisrael walikua na maeneo yao maalumu ya kuabudia, haikuwezeka kuabudia nje ya nchi yao takatifu, huyu ndiye elijenga hekalu la kwanza kubwa lakuabudia tokea taifa hilo linaanza pale Yerusalem, vinginevyo lete chanzo cha habari yako hi!
 
Hii historia ndo naisikia kwako mkuu.na sijui umeitoa wapi na nan walioandika.ni muunganiko wa hadith za kale za once upon a tym au.maana unataka kuwa mfalne juha mbele ya waelevu.nafikir ww endelea na harakat za mashiko katika kupigania haki ya wazanzibar sio kuleta sarakasi za polojo hapa.
 
Poa mkuu historia nyingi imefichwa huko visiwani hadi sasa watoto wanajua kua alieongoza mapinduzi ya 12 january kuwa ni Karume kumbe hamna kitu ni Okello wa Uganda nadhani ni mda muafaka wa kuwaambia watoto ukweli.

Pia tunaambiwa kwamba Karume Snr aliuwawa na MAADUI WA MUUNGANO. Kumbe ukweli ni kwamba aliuwawa na kijana Hamud kulipiza kisasi kwa Karume kwa kumua baba yake Hamud.
 
Hii historia ndo naisikia kwako mkuu.na sijui umeitoa wapi na nan walioandika.ni muunganiko wa hadith za kale za once upon a tym au.maana unataka kuwa mfalne juha mbele ya waelevu.nafikir ww endelea na harakat za mashiko katika kupigania haki ya wazanzibar sio kuleta sarakasi za polojo hapa.

Kama mtoa mada katoa porojo basi ungemsahihisha kwa kuleta yako yenye kupingana na yake ambayo sio porojo! Maana siku zote hoja hupingwa kwa hoja.

Mchangiaji mmoja kaweka video kutoka youtube sasa ndani ya hizi video umo ushahidi Wa hayo aliyosema mtoa mada! Hivyo ni wajibu wako kutoka ushahidi Wa kupinga hayo yaliomo kwenye YouTube.

Sio unapinga hata kama kitu hakipingiki
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco

Pasco,

Je unaweza kutueleza Eneo la nchi ya Znz limeingia mpaka Tanganyika kwa maili ngapi? kufuatana na mkataba wa kimataifa wa eneo hilo la Znz?

Je huoni kuwa nje ya muungano Ikulu ya magogoni, jengo la BOT (twin tower) na viunga vyake vyote kuanzia mnazi mmoja, posta, kariakoo nk vitakuwa katika eneo la Znz?

Yerick [USER=12004 said:
Pasco[/USER]

mkuu pasco "soma" usiburuzwe! ivi unajua kua zanzibar iliandaliwa iungane na kenya kwa mbinu za kijasusi, distance ndo ilikua criteria ya zanzibar kuungana na tanganyika? ivi unajua visiwan kokote duniani ni tajiri by nature? refer island biogeography and spp richness! rudi chuo pasco!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom