swali: je ni kweli wanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
 
Yeah, zipo sababu nyingi za kibaiolojia zinazodhibitisha madai hayo, kwa kawaida wanawake huwa na umri mrefu ukilinganisha na wanaume.
Lakini huenda ngoma ikawa droo kwa sababu taasisi ya ndoa huwaweka wanawake wengi katika mazingira ya kufa mapema kwa msongo wa mawazo kwa sababu baadhi yao huishi katika ndoa ngumu na hawafurukuti kutoka humo hata kama kifo kipo mbele yao dhahiri.....................
frustrated-woman-corbis1.jpg
 
asante Mtambuzi, je unakubali kuwa mwanaume ni dhaifu, kama unakubali ni kigezo gani wanachotumia kusema mwanamke ni dhaifu?
 
Last edited by a moderator:
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL

yap ni kweli , Y chromosomes maximum survival hours is about 13 hrz but X chromosome up to 48 hrz , so upon ejaculation of sperms once the Y chromosome fertilize the ovum a boy would grow up in the mothers uterus , but if upon ejaculation of sperms no ovum was along the fallopian tubes the Y chromosome will die out after the 13 hrz because the sperms do swim to the fallopian tubes ambazo ziko connected to the ovaries. asa kama ejaculation ilifanyika jana afu ovum halikuwepo Y chromosome itakufa ila X chromosomes zenyewe hudumu kwa muda wa masaa 48 hivyo hata kama ovum haikutoka jana , ikatoka leo X chromosome itasubiri hapo kwenye fallopian tube(mlango wa uzazi) ikitoka mambo yanajipa ka zygote kanakuwa formed yani ndo mimba inatungwa hapo , asa ndo maana watoto wasichana wanazaliwa kwa wingi ni suala zima la timing hapo , ila nadhani na hizi chips yai ,vyuku inafanya wanaume wa produce strong sperms huenda ikawa hivyo.
 
hapo kwenye bold chips yai na vyuku vinafanya mwanaume asiproduce strong sperms so kuweni waangalifu men
 
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL

in my biological understanding, mbegu za kiume au Y uwa ni zenye nguvu lakini hufa haraka, ila za kike X huweza kuvumilia hadi masaa 72 kabla hazijafa wakati za kiume ni masaa 48 tu, mwanaume bila chakula atakufa haraka hii ni jinsi anatomy na physiology ya hawa viumbe wawili, mwanaume usually kutokana na homoni zake, metabolism processes uwa ni kubwa kulinganisha na mwanamke, pia kutokana na nature ya kazi zake mwanaume atahitaji vyakula vya wanga ili kutia nguvu zaidi kuliko mwanamke, hakuna dhaifu kati ya mmoja au mwingine, kama ulisoma biology utakumbuka darwins theories za survival of fittest na struggle for existance, viumbe wenye nguvu tu ndo watakaobaki na dhaifu wataondolewa, tungekuwa dhaifu dunia ingekuwa ni wanawake tu
 
I think so, na mara nyingi mtu dhaifu hutumia nguvu nyingi kuprove otherwise; na hii kitu tunaiona sana kwa physical abusive husbands!

lakini kwani hujui hata hizi dini zetu za mapokeo achilia mbali mila na desturi zetu zimetumika sana kusimika the so called mfumo dume.....?
 
Yeah, zipo sababu nyingi za kibaiolojia zinazodhibitisha madai hayo, kwa kawaida wanawake huwa na umri mrefu ukilinganisha na wanaume.
Lakini huenda ngoma ikawa droo kwa sababu taasisi ya ndoa huwaweka wanawake wengi katika mazingira ya kufa mapema kwa msongo wa mawazo kwa sababu baadhi yao huishi katika ndoa ngumu na hawafurukuti kutoka humo hata kama kifo kipo mbele yao dhahiri.....................

Kwa hiyo ukiwa single woman ndo unamuda mrefu wa kuishi?
 
Ngoja nijifiche maana charm anafichua mambo ambayo watu hatupendi kuyasiki pamoja ni ya ukweli.
 
mkuu mimi nimeuliza swali, nahitaji kuelimishwa. c kwamba nafichua ukweli bali ni katika kutaka kueleweshwa kuhusu mada tajwa! samahani kama ntakuwa ninakukwaza. . .
 
+1 to Mwanawalwa and MtotoSix posts. r u doctors, maana mmejibu kwa usahihi kabisa!! kuongezea, Y sperms are faster to compensate for reduced 'lifetime'

charminglady wanaume tumeumbwa kwa suluba na mahangaiko (biblically) kwa hiyo tunachoka mapema ndio maana expectancy ya men<women kwenye nchi nyingi.
 
mnajifariji eeeeh.... vidume vitaendelea ku-survive na kuendelea kuwepo na kuwamimbisha bila kujali kama kuna hizo X and Y chromosomes
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom