Swali: Hivi mikanda ya video ya mazishi huwa watu wanaangalia lini?

Kwa kweli ni vigumu kuangalia hasa kama aliyefariki anakuhusu kama mama baba mke mume au mtoto au mtoto yoyote uliyekaribu naye Mie binafsi sijawahi kuangalia na sitegemei kuangalia
 
Siku hizi watz tumeadvance. Tuna hata vikundi vya kukodiwa msibani ili kuja kukesha ' kulia'. How can U be able to cry for marehemu ambaye pengine U never ever met or knew?. Vipi kuna hata kampuni za mazishi tayari zina exist
 
Kwa kweli sio poa kabisa!!Mie baada ya msiba wa mama yangu,nilikabidhiwa mkanda wa video,ila kusema ukweli sijawahi hata siku moja kuangalia!

Nimeuweka mahali ambapo najua siwezi kukutana nayo karibu!!kwanza hiyo picha tu ya kwenye kasha inasikitisha!!!
 
Siku hizi watz tumeadvance. Tuna hata vikundi vya kukodiwa msibani ili kuja kukesha ' kulia'. How can U be able to cry for marehemu ambaye pengine U never ever met or knew?. Vipi kuna hata kampuni za mazishi tayari zina exist

Tena hivyo vya kulia huwa wanalia kuliko hata wafiwa wenyewe, tena hata kama hawawamjui aliyekufa.. Duh kaz kweli kweli
 
Michango na gharama za matumizi ya shughuli za kijamii kwa siku hizi ni maajabu!
Mtu akiugua, watu wanavuta miguu sana kuchangia matibabu.Akifa ndio utashangaa budget zinatengenezwa na michango kuitishwa.
Kinachonishangza ni ile budget ya kupiga picha za video za tukio zima.Hii iko hadi vijijini!
Cha kujiuliza - hivi, watu hasa wafiwa huangalia lini hii mikanda na kwa kuangalia inamaanisha nini?

Tausi swali zuri sana, limenifanya nami nawaze bila majibu..
 
hivi hiyo mikanda ya mazishi ikiisha wanaandika "THE END" au wanaandika "TO BE CONTINUED"???? Auliza tu

watengeneza majeneza wenyewe wanasema mteja ni mfalme na WANAWAKARIBISHA MRUDI TENA na wanajua kuyasifia majeneza utafki hiyo mahti ikiwekwa uko inaamka.gosh!
 
Rekoding za msiba kama ilivyo for weddings etc, mara nyingi ni for "The record"

Kwamba ni video,it is just an updated way of "keeping records."
 
Rekoding za msiba kama ilivyo for weddings etc, mara nyingi ni for "The record"

Kwamba ni video,it is just an updated way of "keeping records."

Tausi Mzalendo kauliza huwa zinaangaliwa lini, hajauliza huwa ni za nani.
 
Labda ili kusiwe na utata nani analia sana; maana asiyeonesha huzuni au kulia anaweza kuwa ndio mkisiwa!
 
wakati wa maziko ya baba yangu (R.I.P. Mzee Izaki)
tulichukua mkanda wa video,
niliuangalia kama mara mbili, tena peke yangu kwa kuwa ukiuweka tu
hapo ndani wanaondoka wote kimya kimya,
matokeo ile video imeharibika,
kwa hiyo naona huu ni upotevu wa pesa tu,
ni vizuri kama una vipesa umpe hata huyo mgonjwa anunue juice.
 
Pole sana kwa kuondokewa na baba yako,je huyo unayemsindikiza kwenye avatar yako ni mke wa baba yako?Nalog off
 
hayo ya mikanda mimi nimejiuliza sana sijapata jibu..............................
watu wanaenda salon kushonea weaving na mambo mengine ya urembo............. hapo kafiwa na baba, mama, kaka etc......
yaani siku hizi ladha ya misiba imepotea kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Michango na gharama za matumizi ya shughuli za kijamii kwa siku hizi ni maajabu!
Mtu akiugua, watu wanavuta miguu sana kuchangia matibabu.Akifa ndio utashangaa budget zinatengenezwa na michango kuitishwa.
Kinachonishangza ni ile budget ya kupiga picha za video za tukio zima.Hii iko hadi vijijini!
Cha kujiuliza - hivi, watu hasa wafiwa huangalia lini hii mikanda na kwa kuangalia inamaanisha nini?

Mkanda wa mazishi ya baba wa Taifa wewe hujawahi angalia?
 
Mkanda wa mazishi ya baba wa Taifa wewe hujawahi angalia?

unaangalia mkanda wa mazishi ili ukumbuke nini? ...binafsi sioni sababu ya vdeo. Kwenye mazishi,ni umbea tu baada ya mazishi oh, mbona nimeangalia mkanda sikukuona kwenye mazishi ya babangu...nk. Harusi ,b.day sawa .
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom