Swali: Helcopter za wagombea zinatoka nchi jirani, marubani wanatoka wapi?

Nchi jirani

Jasusi,

Kama hivi ndivyo nina mashaka sana na usalama wa Taifa letu... maana kwa hakika hawa wagombea wanaongea/wanachati mengi wakiwa hewani ambayo yanatuhusu sisi wenyewe tu kama taifa... je haya majirani si watutochora?

Naomba majibu sahihi samahani... sitaki ya kubuni! Maana inawezekana tumekodi ndege tu... na uendeshaji ni wetu!
 
Naomba jibu?

Kwani CCM (Serekali) ina chuo cha kufundisha marubani wa helcopter au hata ndege za Kiraia? nairobi hivyo vyuo vipo kama vyuo vya VETA BONGO,Jibu unalotaka ni rahisi nenda pale JKNA ukaangalie marubani wa vindege vyote vidogo kama utamkuta mnyamwezi ujue ni kwa hisani ya Kabila la wA - ASIA,, . na ukumbuke TZ ni Nesamburo peke yake ndo anamiliki Helcopter 2 kwa ajili ya Biashara, nyingine ni mali ya Polisi na JW
 
Helkopta ya chadema imekodishwa toka kenya na rubani wake ni msomali! La kusikitisha huyu msomali huwa anatafuna marungi(aina fulani ya madawa za kulevya) hapa kwetu tz ni marufuku kutafuna lakini huyu rubani wa viongozi wa chadema huwa anatafuna akiwa angani na akiwa ardhini huwa anatafuna kwa kuibia ibia mimi mwenyewe nilimuona mwaka jana huko moshi wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa ndio kabisa anatafuna mtindo mmoja!
Hii ya ccm imekodishwa toka shirika moja la hapa hapa nyumbani na rubani wake ni mwananchi.
 
huyu naye kwa pumba amezidi hata makamba mwenyewe ...phhhhheeeewhhh
 
Helkopta ya chadema imekodishwa toka kenya na rubani wake ni msomali! La kusikitisha huyu msomali huwa anatafuna marungi(aina fulani ya madawa za kulevya) hapa kwetu tz ni marufuku kutafuna lakini huyu rubani wa viongozi wa chadema huwa anatafuna akiwa angani na akiwa ardhini huwa anatafuna kwa kuibia ibia mimi mwenyewe nilimuona mwaka jana huko moshi wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa ndio kabisa anatafuna mtindo mmoja!
Hii ya ccm imekodishwa toka shirika moja la hapa hapa nyumbani na rubani wake ni mwananchi.

Msomali atakuwa ana uhusiano na Kinana aiseeeeeeeeeeeeeeeee

Idd Azzan.... anafanya biashara gani??

Rubani Mwananchi ni Ma-rope ... ndio maana CCM inayumba yumba
 
Back
Top Bottom