Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

Abdulrahman Kinana: Who is he?
Majuzi nimesikia kwamba Kinana alitinga kiwanjani kumpokea mwarabu mmoja mwekezaji wa Hotel za Kilinjaro zina jina jipya. Alikuwa kaongozana na wala rushwa waziri gani sijui yule.

Nimejiuliza Kinana ni nani kweney Serikali hadi aende upokea mwekezaji? Alienda kwa jina la CCM ama Serikali ? Kinana na issue yake ya Uraia iliishia wapi?

Nipeni mwelekeo kama kuna mwenye kulijua lolote hapa.


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/12529-abdulrahman-kinana-who-is-he-9.html
 
unamaanisha yule msomali jangili wa vipusa vya tembo?


huyo huyo unayemtuhumu ndio mbunge pekee aliyewai kuiletea maendeleo arusha . Sio huyu kilaza pamoja na yule aliyemtangulia.
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana . ANAFAA, ANAUWEZO, ANAKUBALIKA.
tena nauwezo mzuri mno wa kuiba masanduku ya kura na kuongea na wakurugenzi........c unakumbuka shahidi kwenye kesi ya mahanga alivyosema khs kinana, yy ndo aliyekuja kumtoa msimamizi wa uchaguzi na kuingia nae ndani ya gari moja.
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
wapiga kura wengi vijana wa umri huo hawamjui, mnataka kumponza kinana na aibu ya uzeeni.
 
Kama ni wizi utathubutu kumlinganganisha na lema pamoja na wale binamu zake waliouliwa watoto wa kileo ? Acheni siasa chafu . Sisi tunataka maendeleo mambo ya kufata mkumbo hatuitaji.

utalia kama ulivyolia Arumeru.
Siasa za nyuma ya keybord mwisho wake ni kura.
CCM arusha mjini mtapasahau milele.
 
Kama ni wizi utathubutu kumlinganganisha na lema pamoja na wale binamu zake waliouliwa watoto wa kileo ? Acheni siasa chafu . Sisi tunataka maendeleo mambo ya kufata mkumbo hatuitaji.
ccm imeshindwa kuleta maendeleo sehemu kubwa tu ya Tanzania ambako ina wabunge. Hayo maendeleo mtaanzia kwa kuyaleta Arusha tu?
 
abdulrahman kinana: Who is he?
majuzi nimesikia kwamba kinana alitinga kiwanjani kumpokea mwarabu mmoja mwekezaji wa hotel za kilinjaro zina jina jipya. Alikuwa kaongozana na wala rushwa waziri gani sijui yule.

Nimejiuliza kinana ni nani kweney serikali hadi aende upokea mwekezaji? Alienda kwa jina la ccm ama serikali ? Kinana na issue yake ya uraia iliishia wapi?

Nipeni mwelekeo kama kuna mwenye kulijua lolote hapa.


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/12529-abdulrahman-kinana-who-is-he-9.html




pamoja na yoooote hayo yeye ndio aliyeifanyia arusha maendeleo . Watu wanaitaji maendeleo na uchumi uonekane kwa kila mmoja wao . Mtu ambaye anayeweza kutengeneza yooote hayo ni ndg kinana pekeee.
 
Tatizo la mfa maji ccm, hawana masikio, hawana macho. Hata kujua alama za nyakati wameshindwa kusoma. Ccm ndo dalili ya mwisho hizi jamani, kijana yeyote from 40yrs come down kama wanashadadia ccm basi haijatambui
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
Pamoja na wewe kuwa na umri mkubwa bado upeo wako wa kuona mbele ni mdogo,soma alama za nyakati, there is no means CCM inaweza kuchukua jimbo la Arusha-Mjini kupitia kura za wana-Arusha, hata angegombea Kikwete!
 
ccm imeshindwa kuleta maendeleo sehemu kubwa tu ya tanzania ambako ina wabunge. Hayo maendeleo mtaanzia kwa kuyaleta arusha tu?


kinana ni mchapakazi mkuu . Uliza ntu yoyote wa arusha
 
Kama maandamano ni ya kudai haki na usawa bora maandamano kuliko hiyo amani inayopumbaza sisi wana Arusha tupo tayari kwa lolote kama unabisha njoo hapa ofisi za chadema mkoa uone utayari wetu
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .
 
kinana ni mchapakazi mkuu . Uliza ntu yoyote wa arusha
mAENDELEO GANI MBONA HUSEMI?
Maendeleo...maendeleo!...ameongeza barabara ngapi tokea enzi za ukoloni wa kiingereza!..poooooooooooffff!!
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .

wewe inawezekana ukawa mjanja miongoni mwa wajinga, Kinana kafanya nini Arusha? tumezaliwa na kukulia huko tueleze basi
 
Mtu anapochukua uraia wa nchi isiyo asili yake, usidhani uasilia wake unapotea! Mnamkumbuka Rage; si aliamua kwenda na silaha kwenye mkutano wa hadhara.... ili.....! Maskini waTZ
 
Kinana itakua poa sana ,maaana atashindwa kirahisi sana ..hazina ya CDM ni vijana ..vijana hatutaki historia za fulani alifanya hivi ..tuambie utatufanyia nini na tukikuangalia machoni tuamini maneno yako kua hutudanganyi(Mwl)..
Kijana au mtu mjanja kua mwanachama na shabiki wa CCM ni kutosoma Alama za nyakati ..umri wa chama kuishi unapaungua ..(political Half life)..mabadiliko ndani ya CCM sio rahisi ..wapenda mabadiliko wengi sio wapenzi wao ..
tunataka mabadiliko ambayo huwezi yapata CCM ..Wengi wao ni wazandiki ,wanafiki na wapiga domo kama kina lusinde, wasira ,na watu wao wa itikadi ambayo ni ufisadi na wizi ...Arusha hawaamini kua CCM ndio italeta maendeleo ..viongozi wa serikali kuu ni jukumu lao kufikiri na kutekeleza mipango iliyopo ..ikiwamo kustawisha miji ,na kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa wananchi wa aina zote ..huo ni wajibu haijalishi uko CCM au TLP ...kama hawatekelezi huo ni wizi na dhuluma ...CCM wasidanganye watu
 
Kinana anajua kilichompata Mkapa huko Arumeru. hawezi hata kujaribu. Natamani sana wamsimamishe Nape Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom