Jim007 2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 395
- 247
Wakuu salaam,
Nna swali kidogo linalonitatiza....
Mfano mimi Juma Abdala nimesoma shule ya Mtakuja mpaka darasa la saba lakini bahati mbaya sikufanikiwa kufaulu, wazazi wangu wakaenda shule ya msingi Maweni na kutafuta jina la mwanafunzi wa darasa la sita aliyeacha shule nikachukua jina lake nikaenda nalo mpaka darasa la saba nikafaulu vizuri kwa jina la pili ambalo ni Kassim Ally nikaenda sekondari nikafaulu vizuri nikaendelea na elimu za juu mpaka sasa nina masters ya uchumi nipo BOT na maisha yanaendelea.
Swali, Kisheria hivi vyeti vyangu ni halali kwa mimi kuvimiliki??