Swala sio kuoa na kuvalishana pete swala ni jinsi ya kutunza mke awe bora kwako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
PENGINE KUTOKANA NA UMRI AMA MAISHA KUYAWAHI MAPEMA NAMAINI MMENIELEWA
VIJANA WENGI WAMEKURUPUKA KUKIMBILIA KUOA...SIKATAI KILA MWANAUME ANATAKIWA KUOA USINIULIZE KUHUSU MWANAMKE KUOLEWA M NI MWANAUME NAONGELEA WEWE NDIO UNASHANGAA NINI SASA

WENGI WANAKIMBILIA KUOA BILA KUJUA KAZI ILIOPO KWENYE NDOA..HUU NI UJUMBE MAHSUSI KWA WEWE UNAEENDA KANISANI KESHO AMA MSIKITINI LEO SWALA SIO KUJAZA CHOO AMA KUVALISHANA PETE SWALA UTAMTUNZAJE MWANAMKE ULIEMCHAGUA KAMA MKE WAKO WA MAISHA WA KUFA KUZIKANA SIJUI MNAWEZA ONDOKA WOTE SIKUMOJA ATAMZIKA NANI.....SASA UNAPOAAMUA KUOA LAZIMA UJUE KUNA KITU KINAITWA MAJUKUMU

PENGINE UMEKUWA UKILA NA KULALA KWA WAZAZI WAKO EEH WEWE LEO HII UJUE UMEMCHUKUA MTOTO WA WATU NA SIO PUNDA WA KUFNYIA MAZOEZI..HUYU ANAITAJI MAHITAJI SPECIAL TOFAUTI NA MANGUBE NGUBE ULIOKUWA UKIYATUMIA KIPINDI HICHO KWA KUYAPA BIA MBILI NA KUYACHANGANYIA MKOJO YAMELEWA UNAONDOKA NAYO UNASEMA UMEPATA MWANAMKE HUYO NI WAKO WA MAISHA...NI VIZURI UNAPOAMUA KUOA UJUE
KAMA ULIKUWA MBAILI KWENU HUKU UNATAKIWA KUTOA...UNATAKIWA KUJUA MKEO ANAVAA NINI AMEKULA NINI SI HABA KAMA MIE KUMNUNULIA MKE WANGU SUTI YA NDANI KWA KUJUA TU SIZE AIJALISHI KIUNO NGAPI 45-65 WE NUNUA WALE WANATAKA HELA AWASHANGAI UKUBWA WA KIUNO CHA SUTI YA NDANI UNACHONUNUA NDIO WAKO HUYO

SASA BASI SI HABA KUKUMBUSHANA NAJUA NIMEMWAGA MENGI KUHUSU FAMILIA NA KAMA BADO INATETEMEKA BASI WEKA DRPU YA UPOLE NA VIDONGE VYA UPENDO NA MUNGU WA MBINGUNI AKUANGAZIE

NAWATAKIA HAUSI NJEMA WOTE WATARAJIWA NAAMINI AMTAKWENDA KUVALISHANA PETE KWA KULAZIMISHWA NA WAZAZI NA KAMA UKO WA AINA HIYO JF NASHAURI MASAA YANARUHUSU 1 HR NOTICE UNAELEZA YAMEKUSHINDA USIINGIE MKENGE KWENYE MNYORORO WA WANANDOA WANAOJIITA NDOA NI KUVUMILIANA WENGINE AWAJUI UVUMILIVU UTAVUMILIA MPAKA WANAKUWEKA KABURINI UNAWAACHA WANAHAMIA KWA WENGINE

KILA LA KHERI UKIJISIKIA KUNIPA KADI BASI ITUME KWENDA
siachiking'o@yahoo.com
 
lol! naona didy leo umewaamulia, thanx ujumbe mzur na vijembe vya hapa na pale, wameelewa nadhani, ndoa ni kitu kingine bana
 
ebu tusubiri wanaotaria ama waliokwenye ndoa wajibu, si wengine tumechangua mfumo wa singleeeeeeeeeeee
 
Yoote umeongea ila "KUMTANGULIZA MWENYEZI MUNGU KATIKA MAISHA YA NDOA" haujaiweka, coz ni silaha bora kuliko zooooooooote duniani ninaamini hivyo.
 
unaesema mume alinde amekuwa KKSECURITY mwanamke ameacha kk wangapi kwao kama ni swala la kulindana...haahaaa hamia mpwa usione tunaleta haya wengine tulikuwa huko tukahamia airtell tunakula mema ya ndoa asikudanganye mtu bana ubahili kwenye ndoa una matatizo yake hata baraka za channel za pesa zinakimbia kama BOLT
 
Back
Top Bottom