Swala la waislamu kuchinja ni la kisheria au ni ustaaarabu tu?

The Islamic (halal) method of slaughter can be described as follows: The animal has to be lawful to eat, alive, healthy, to be slaughtered only for the reason of food, in the name of The Creator, ALLAH (s.w.t) and not for any other reasons (it has to be well-fed, not thirsty handled and moved gently and individually).
The slaughter-man must be in possession of a clear mind and not under the influence of alcohol or drugs, trained in the job, with an awareness of what he is doing.
The act of slaughter (Al-Dhabh) starts by pronouncing the name of ALLAH (s.w.t), The Creator (BISMILLAH ALLAHU AKBAR ), to take His permission and in order to make the Slaughter-man accountable and responsible and to give compassion and mercy to the animal during this act.

Then, by a very, very sharp knife (which should be kept like a surgeon’s knife in sharpness and cleanliness, as previously stated by DR Ghulam Khan (UFAW, 1971), a Deep swift cut done instantaneously and quickly to the blood vessels of the neck (the two caroid arteries which carry blood to the brain and head, the two jugular veins which bring blood from the brain back to the heart), the trachea (windpipe) and the oesophagus (gullet), but the central nervous system (the spinal cord) should be kept safe and intact (not cut).

The animal, at this stage after the cut, is in a stable and quiet state with no movement or any distressed behavior. One would assume, if there was any pain or suffering, it would kick, move or show signs. After this short resting phase, and because the brain is deprived of oxygen and blood due to the huge amount of bleeding, the heartbeats increase in order to increase the flow of blood to the brain and other deprived areas. Tonic and clonic involuntary contractions and convulsions start and occur as automatic physiological reflexes in order to send and push blood up, especially to the brain. These contractions and convulsions are ‘painless’ (not, as the layman would imagine, that the kicking is due to the pain) especially when the animal is already unconscious and still has an intact spinal cord with safe nerve centers to the limbs, muscles and organs. So, we have a huge amount of bleeding from the initial cut then blood loss is continuing with the squeezing pressure of these contractions and convulsions, leading to maximum bleeding-out and less retention of blood in the carcass, giving a better quality of meat [both safer and healthier (this is like direct method of slaughter, “but without stunning”)].
I would like to end this section of my talk with at least one testimony from, for example, Lord Horder GCVO, MD, FRCP, who explained this type of slaughtering scientifically (and without the use of stunning):
‘The animal loses consciousness immediately. It is difficult to conceive a more painless and rapid mode of death; for a few seconds after the cut is made, the animal makes no movement its body is then convulsed, the convulsive movements continue for about a minute and then cease. The interpretation of this fact is clear: the cut is made by a knife so sharp and so skillfully handled that a state of syncope with its associated unconsciousness follows instantaneously upon the severing of the blood pressure. The movement of the animal which begins at about 90 seconds are epileptiform in nature and are due to the blood-less state of the brain (cerebral ischemia with complete anoxaemia). Sensation has been abolished at the moment of the initial syncope.’




Methods of slaughter used today

1.The captive bolt pistol
used commonly for cattle, calves and goats. It is the shooting, by a gun or pistol in the forehead (mechanical method) by a blank cartridge or compressed air. It could be penetrating or non-penetrating (percussion stunning). It breaks the skull, shatters and destroys the brain. A rod of steel is introduced in the skull hole to smash, cut and destroy the brain [pithing:now to be prohibited in UK and Europe by January 2001]. All this occurs before the real slaughtering cut is made. Recently, a new method by which a steel needle to penetrate the skull and brain and in which air is injected to cause intercranial pressure has been developed.

Problems, harm and results of this method have been reported in different scientific and Government reports, as follows:


  • Improper stunning (failure of stunning leading to re-stunning and double shots (FAWC 1982 and 1984);
  • Paralysis of the animal while still conscious (FAWC 1982 and 1984);
  • ‘Depressed skull fracture’ and considerable damage to the brain (FAWC 1984);
  • Brain contamination (Blackmore 1979);
  • Blood splash (extranvasation of blood from vessels Into muscle and meat with some clotting of the blood) (Blackmore 1979);
  • Brain hemorrhage (Blackmore 1979);
  • Bruising and injuries from the heavy fall of the animal after the shot;
  • Death reported by Lawton (1971); Temple Grandin (1980) stated that tests on sheep and calves indicated that penetrating captive bolt stunning actually kills the animal;
  • Damage or harm to the meat. Marple (1977) stated ‘Captive bolts should be discontinued in view of theirdetrimental effect on meat quality. (Quoted by Biala 1983)
We know that this method is still widely practiced, especially in the UK!
2. Carbon Dioxide (CO2)
it is done by moving the animal through a room which contains a mixture of CO2 and air (about 65/70% CO2 by volume). It is used only for pigs. It is a form of chemical strangulation. CO2 is a harmful gas to be inside the body.

Problems and harm reported include;

  • Considerable, unacceptable stress (violent excitation, general agitation and convulsions).
  • ‘CO2 stunning is more stressful than either properly applied electrical or captive bolt stunning’ (Temple Grandin 1980).
  • Suffocation, strangulation and death to the animal before the cut; death was reported by Glen (1971).
  • Toxic effect of the gas on the blood and physiology.
  • It is definitely a cruel way for the animal and I would like to quote here also from FAWC (1984) when they discussed pain;‘It is doubtful whether the animal feels pain or is even conscious’. This method has been banned in Holland and many other European countries
3. Electrical Stunning
could be to head and brain only or to head and back or to the legs, and there are three varieties:



a. Low Voltage Electrical Stunning
by a pair of scissors-like tongs with circular or rectangular electrodes which are usually immersed in a saline solution then applied to the side of the head. Voltage is not less than 75 volts (50 Hz mains frequency) for not less than seven seconds.

Problem and harm with this method include:

  • It is cruel, by giving an electric shock directly, with no anesthesia;
  • paralysis while the animal is conscious (pain);
  • doubt about the effect and feeling of pain;
  • unreliable: missed shots and re-stunning;
Recovery of the animal usually occurs within 30-40 seconds. Electric stunning only induces paralysis, not unconsciousness, leaving the animal helpless but completely conscious to pain. (E.H. Callow from his book ‘Food Hygiene)
Some scientists and physiologists have expressed serious misgivings; some are of the opinion that the animal is merely paralyzed by the electric current and so prevented from making a sound or a movement while fully conscious and experiences great pain as the current passes through its body. Such views are shared by the following Professors and Scientists:
a) Prof. A.C. Ivey (North Western University of America)
b) Prof. M.J. Hertz, of France
c) Prof. Roos & Koopmans, Holland.
Stunning does not first involve passing an electric current through the animal’s body. The magnitude of the current passed must be adequate; voltage of higher rating could lead to bone fractures. Voltage of lower rating produces electric convulsions without inducing unconsciousness. A lower voltage rating needs longer application and this being a matter of judgment, the human element could lead to failure. The variations in the sizes of animals and their individual resistance to the current are also important considerations.
Let me quote the following petition of Meat Packers in Denmark to the Danish Government:-
“Stunning with electricity causes extravasation in the meat, sanguinary intestines and fractures in the spinal column, pelvis, shoulder blades, through the shock. The blood in the meat makes it more susceptible to putrefaction and has detrimental effect on taste.”
b. High Voltage Electric Stunning by using an electric shock of 300-400 volts, commonly used for pigs and sheep.
Problems and harm with this method:

  • It is very cruel by giving a high electric shock (electrocution to a conscious animal).
As a doctor, I have been practicing for more than 10 years and giving electric shocks (‘stunning’) (Electro-Convulsive Therapy - ECT) to patients (WITH MENTAL ILLNES) but only after a general anaesthetic. The Medical Council would strike my name from the Register if I should ever dare to give ECT without anaesthesia because it is very cruel to do so. I wonder, is it not cruel to do this to an animal too? Although the voltage used in ECT is smaller than that used for animals, is it not still cruel?
“Electric stunning of calves by the ‘head only’ method is inhumane in all circumstances”. (Blackmore 1982);

  • Ventricular fibrillation, cardiac inhibition, cardiac disfunction, cardiac arrest and death; “Head to back stunning induced a cardiac arrest in all the sheep”. (Gregory and Wotton, 1984);
  • Bone-shattering;
  • Stress: “>From a physiological standpoint, the stunned animal is more highly stressed”. (Althen 1977 quoted by Temple Grandin 1980);
  • High level of blood splashing in the carcass (Gilbert, Blackmore, and Warrington); “Electric stunning raised the blood pressure by 31/2 times”
  • Pain and sensation;
I would like to quote, ‘It is difficult to determine the sensitivity of an animal to pain during the first few seconds of stunning while the electric current is applied.’ (FAWC 1984)
I also quote Baldwin 1971 (quoted by Biala 1983): “The question whether the animal is suffering pain during the period of consciousness in not so readily appropriate to objective experimental investigation”.

c.
Electrified Water Bath for Poultry Stunning
‘The birds are suspended on the shackle (upside down) then the head is intended to come into contact with the water and the passage of an electric shock through the brain’. (FAWC 1982)

Problems and harm with this method:

  • A very cruel way to give the electric shock, especially in this uncomfortable position;
  • Drowning and suffocation resulting in death.
  • It was well-documented that some birds were taken, still alive to the scalding tank (to remove the skin and feathers) (Heath et al 1983). “One-third of the birds are dead (mitah) in the stunner and one-third are not stunned”. (FAWC 1982).
  • Death from the stunner;
“A substantial number werekilledas a result of the shock from the stunner”.(24% dead in UK, MAFF 1999, 17 to 37% in USA) In this report, they emphasized, clearly, eight reasons why stunning may not be satisfactory (please see the report for details)].

  • Paralysisby failure of stunning.
  • With regard to pain, apart from the above suffering, the FAWC reported “a substantial number maystill be sensitive to pain”.

SOURCE: http://www.azhar.jp/info/halal-eng/halal5.html
 
Kuchanja kwa Waislaam ni ibada ! ''Mmeharamishwa (mmekatazwa!) nyamafu (kibudu) na damu (kisusio !) na nyama ya nguruwe, na kinyama kilichochinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na kilichokufa kwa kusongeka koo (kunyongwa) na kilichokufa kwa kupigwa na kilichokufa kwa kuanguka, na kilichokufa kwa kupigwa pembe na alichokila mnyama, ila kama mkiwahi kukichinja kabla hakijafa. Na mmeharamishiwa (mmekatazwa) kilichochinjwa panapofanyiwa ibada isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu. Na ni haramu kutaka kutaka kujua siri kwa kuagua kwa mabao (kupiga ramli). Hayo yote ni maasia. Leo waliokufuru wamekata tamaa katika dini yenu, basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi . Leo nimekukamilishieni dini yenu na kukutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislaam uwe dini yenu.
''Wanakuuliza wamehalalishiwa nini ? Sema: Mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri na mlichowafunza wanyama kuwinda na ndege wa mawindo. Mnawafunza alivyokufunzeni Mwenyezi Mungu. Basi kuleni walichokukamatieni, na mkisomee jina la Mwenyezi Mungu. Na muogopeni Mwenyezi Mungu; Hakika Mwenzezi Mungu ni Mwepesi wa kuhesabu. Quran: Al Maida: 3-4.
nyie mnadhan haramu ni nguruwe tu na vibudu,HARAMU NI MATENDO YENU NINYI WAISLAMU kama vile UGOMVI,CHUKI,KULALAMIKA HOVYO,UFIRAJI,UGAIDI na UBAGUZI...MJISAHIHISHE enyi ndugu zetu
 
nyie mnadhan haramu ni nguruwe tu na vibudu,HARAMU NI MATENDO YENU NINYI WAISLAMU kama vile UGOMVI,CHUKI,KULALAMIKA HOVYO,UFIRAJI,UGAIDI na UBAGUZI...MJISAHIHISHE enyi ndugu zetu
........................ Tuendelee na mada hapo juu !!:focus:
 
Sasa nauliza swala la waislamu kuchinja ni la kisheria au ni ustaarabu tu? Kumbuka siko kidini. Msinielewe vibaya.

kuchinja kwa waislamu ni sheria kidini,na imewekwa mahsusi kwa sababu za kiafya na kiimani.
Lengo la kuchinja ni kuifanya damu iliyoko ktk mwili wa mnyama itoke ili kama mnyama alikuwa na maradhi yenye kuweza kumuathiri mlaji basi athari zipungue kama ijulikanavyo kwamba virusi na hata bakteri wengi ktk viumbe huishi kwenye damu ndio sababu hata maradhi mengi hupimwa kwa kuchukuliwa damu.kiimani utaratibu wa kuchinja ktk dunia umeanza zamani lakini watu walikuwa wakichinja juu ya mawe au kwenye masanamu nk ndipo uislamu ukafundisha kumtaja mungu wakati wa kuchinja badala ya masanamu mawe nk.kibudu hakiliwi kwa sababu ni kifu na hata ukichinja damu inayokusudiwa kutoka haitatoka.labda kwa uchache nimechangia.
 
kwa muktadha wa KATIBA?

kuchinja si sheria ya nchi ya tanzania,bali ni sheria ya dini ya kiislamu.na tanzania si nchi ya kiislamu wala dini yoyote,hivyo haiwezekani kuwa ktk katiba na ikibidi hivyo itawahusu waislamu pekee kwa sababu swala la kulazimishana halipo bali kuna uhuru wa dini.
 
Katika biashara ya nyama ni kawaida waislamu ndio wamepewa jukumu la kuchinja na bila muislamu kuchinja nyama hiyo ni kama hairuhusiwi kuuzwa. Hili limeleta mtafaruku hivi majuzi kati ya muuza nyama na muislamu mmoja baada ya muuza nyama kuchinja mwenyewe na huyo muislamu akataka hiyo nyama itupwe. Sasa nauliza swala la waislamu kuchinja ni la kisheria au ni ustaarabu tu? Kumbuka siko kidini. Msinielewe vibaya.

Hii ndo sababu y awaislamu kuchinja mzeee........

Question:
Why do Muslims slaughter the animal in a ruthless manner by torturing it and slowly and painfully killing it?

Answer:
The Islamic method of slaughtering animals, known as Zabiha has been the object of much criticism from a large number of people. One may consider the following points, which prove that the Zabiha method is not only humane but also scientifically the best:
1. Islamic method of slaughtering animal
Zakkaytum is a verb derived from the root word Zakah (to purify). Its infinitive is Tazkiyah which means purification. The Islamic mode of slaughtering an animal requires the following conditions to be met:
a. Animal should be slaughtered with sharp object (knife)
The animal has to be slaughtered with a sharp object (knife) and in a fast way so that the pain of slaughter is minimised.
b. Cut wind pipe, throat and vessels of neck Zabiha is an Arabic word which means ‘slaughtered’. The ‘slaughtering’ is
to be done by cutting the throat, windpipe and the blood vessels in the neck causing the animal’s death without cutting the spinal cord.
c. Blood should be drained
The blood has to be drained completely before the head is removed. The purpose is to drain out most of the blood which would serve as a good culture medium for micro organisms. The spinal cord must not be cut because the nerve fibres to the heart could be damaged during the process causing cardiac arrest, stagnating the blood in the blood vessels.

2. Blood is a good medium for germs and bacteria
Blood is a good media of germs, bacteria, toxins, etc. Therefore the Muslim way of slaughtering is more hygienic as most of the blood containing germs,bacteria, toxins, etc. that are the cause of several diseases are eliminated.

3. Meat remains fresh for a longer time
Meat slaughtered by Islamic way remains fresh for a longer time due to deficiency of blood in the meat as compared to other methods of slaughtering.

4. Animal does not feel pain
The swift cutting of vessels of the neck disconnects the flow of blood to the nerve of the brain responsible for pain. Thus the animal does not feel pain. While dying, the animal struggles, writhers, shakes and kicks, not due to pain, but due to the contraction and relaxation of the muscles defecient in blood and due to the flow of blood out of the body.
 
kwani bibilia inasemaje kuhusu swala kuchinja. Kuna kifungu kinachoelekeza taratibu za kuchinja?.
 
kwani bibilia inasemaje kuhusu swala kuchinja. Kuna kifungu kinachoelekeza taratibu za kuchinja?.
Sidhani kuwa kipo hicho kifungu.Biblia kwa vile si kitabu cha Mungu kina upungufu mwingi.Ngoja tuwasikie mashehe wao.
 
kwani bibilia inasemaje kuhusu swala kuchinja. Kuna kifungu kinachoelekeza taratibu za kuchinja?.
Zipo aya ambazo mtume paulo anawambia watu wale bila kuuliza kama kimechinjwa kihalali au la ! Wao wale tu ! Kwa katazo hili ni wazi taratibu zilikuwepo.
 
Kama una bahatika kuona Ngamia anavyo chinjwa kwa kweli ni uzoefu wa ajabu ! Anasomewa Quran, surat Al An'am, kisha anapiga magoti taratibu na kunyoosha shingo, anafumba macho mwenyewe, kisu kinapita bila purukushani. Hakika kuna dalili za wazi kwa mwenye kuzingatia !
 
Mtoa thread, hivi kila mtu anaweza kupiga shindano mgonjwa?

Yani wewe ukiona Daktar au Nursing wanapiga wagonjwa shindano basi na wewe unaweza kufanya kama wao.


Kuchinja kila mtu anaweza kuchinja, lakini kuna sheria zake....Mtu kama hafati sheria vipi aruhusiwe....Ni sawa sawa na mtu anajua kuendesha gari lakini hana licence, afu unamwambia police time akikamatwa...Kuendesha gari ni lazima uwe na licence, hata kama unajua kuendesha gari.

Tazama video Waislam wanavyo jincha hapo, ujifunze na wewe
 
Last edited by a moderator:
lakini waislamu wanasema mkristo safi akichinja mnyama yoyote mwislamu anaruhusiwa kula je ni kweli?
lakini pia ina maanisha waislamu wao ni wasafi kuliko wakristo ni ulimbukeni usiokuwa na maana yoyoyte?
mbona kuna wakati tulipika kitimoto akaja mwislamu na njaa zake na akasema nitakula ila msiniseme?
hii inaonesha nini? mbona wakati wa ramadhani kitimoto hakina soko sana lakini wakifungua tu kitimoto kinaisha mapema?
hii maana yake nini? Na mbona naskia mtume muhamad aliitisha kitimoto wakati wa sherehe kumbe wapishi walikuwa wamekula yote kwa sababu ya utamu na ndo maana ya ikaharamishwa?
tuache ulimbukeni nyama ni nyama hata kama imechinjwa na mpagani
hizo ni imani za kuzimu
 
lakini waislamu wanasema mkristo safi akichinja mnyama yoyote mwislamu anaruhusiwa kula je ni kweli?
lakini pia ina maanisha waislamu wao ni wasafi kuliko wakristo ni ulimbukeni usiokuwa na maana yoyoyte?
mbona kuna wakati tulipika kitimoto akaja mwislamu na njaa zake na akasema nitakula ila msiniseme?
hii inaonesha nini? mbona wakati wa ramadhani kitimoto hakina soko sana lakini wakifungua tu kitimoto kinaisha mapema?
hii maana yake nini? Na mbona naskia mtume muhamad aliitisha kitimoto wakati wa sherehe kumbe wapishi walikuwa wamekula yote kwa sababu ya utamu na ndo maana ya ikaharamishwa?
tuache ulimbukeni nyama ni nyama hata kama imechinjwa na mpagani
hizo ni imani za kuzimu
 
] (1)la[/COLOR]kini waislamu wanasema mkristo safi akichinja mnyama yoyote mwislamu anaruhusiwa kula je ni kweli?
(2)lakini pia ina maanisha waislamu wao ni wasafi kuliko wakristo ni ulimbukeni usiokuwa na maana yoyoyte?
mbona kuna wakati tulipika kitimoto akaja mwislamu na njaa zake na akasema nitakula ila msiniseme?
hii inaonesha nini? mbona wakati wa ramadhani kitimoto hakina soko sana lakini wakifungua tu kitimoto kinaisha mapema?
hii maana yake nini? Na mbona naskia mtume muhamad aliitisha kitimoto wakati wa sherehe kumbe wapishi walikuwa wamekula yote kwa sababu ya utamu na ndo maana ya ikaharamishwa?
tuache ulimbukeni nyama ni nyama hata kama imechinjwa na mpagani
hizo ni imani za kuzimu
Nitakusaidia No.1 na 2.
1.Je Mkristo safi ni yupi ? na "safi" inawakilisha nini ? Mkristo akichinja anataja jina la nani? (anamtukuza na kumshukuru nani ?)
2.Ukiiuelewa "usafi" wa Waislaam ndio utatofautisha na yote uliyoyaandika hapo chini !

kumbuka kijijini kwenu watu walikuwa wakiona gari la "Red Cross" wanasema ni Muumiani (Blood sucker !)
 
..................daaah ! kazi kweli kweli !Ngoja nijaribu tena kukuelimisha:1. Kwanza kabisa Uislaam haufuati maoni au mtu binafsi anavyoona na kufikiria.2. Uislaam unaamini Binaadamu wa kwanza kuumbwa yaani ADAM A.S ni Muislaam na watu wote waliofuatia ni Waislaam3. Wakati anazaliwa Yesu, anayonyeshwa na Mama yake, alikua Dini gani Mama yake alikuwa Dini gani ?4. Waislaam wanawaamini na kufuata Manabii wote bila kubagua, akiwamo Yesu A.S, na Nabii wa Mwisho ni Muhammad S.A.W5. Uislaam hauna ubaguzi wa Siasa (Uarabu/Ukoloni nk) Quran inasema tumeumbwa Makabila na rangi tofauti ili tujuane tu, na aliye bora ni yule mchamungu !6. Haya ni mafundisho ya Kiislaam, na si maoni ya mtu.

Angalizo:
Mkuu, Isa bin Marium wa Qur'an na Yesu Kristo wa Biblia Takatifu ni 'issue' mbili tofauti! Usichanganye mambo.
Soma Mwanzo (Genesis) hadi mwisho Ufunuo(Rev.), kisha angalia Qur'an Al-Fatiha hadi An-Naas; utajua kuwa ukweli.
 
Kumbe ktk sheria za jamhuri ya muungano wa tanzania hakuna sheria inayosema lazima muislamu ndiye achinje ndipo nyama iuzwe! Nikichinja na nikaweka ILANI kuwa hii nyama haikuchinjwa na muislamu, hakuna haja ya waislamu kunifanyia fujo buchani?
Sahihi kabisa, tatizo lilnakuja pale tunapofikiria kwamba kuwa na bucha ni huduma kwa jamii hivyo sidhani kwa mfanya biashara makini atatafuta namna ya kupunguza wateja badala ya kuwaongeza.

Kama walivyoeleza kwenye post zilizotangulia kwamba kwa kuwa kwa waislam suala la kuchinja ni ibada kwao na ina rejea zake, na kwa upande wa pili wao hawana excuse hiyo basi kwa utangamano uliopo kwenye jamii yetu ikaonekana basi si vibaya kuwa na wenzetu katika kila kitoweo kwa kuzingatia matakwa ya wote katika jamii ikizingatiwa kwamba upande wa pili hakuna wanacho poteza!

Kuuza pork ni haramu au?
Anachinja nani??
Kwa masikitiko makubwa nalazimika kusema kwamba hapa mkuu umeuliza majibu, ongeza umakini kidogo!

Si sheria ya nchi Bali Ni ustaarabu tu uliopo katika jamii yetu mitaani nyama kuchinjwa na muislam ili watu waweze kukaribishana...
Pamoja sana.
 
Angalizo:
Mkuu, Isa bin Marium wa Qur'an na Yesu Kristo wa Biblia Takatifu ni 'issue' mbili tofauti! Usichanganye mambo.
Soma Mwanzo (Genesis) hadi mwisho Ufunuo(Rev.), kisha angalia Qur'an Al-Fatiha hadi An-Naas; utajua kuwa ukweli.

Je Yesu ndie Jesus? Na John ndiye Yohana !? Usijichanganye ili ukwepe ukweli !
 
Back
Top Bottom