swala la ngono!!!!

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
268
57
habari wana JF Doctor!! kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma maada mbalimbali nakutoa ushauri mwingi tu kuhusu watu wanaouliza au kutoa maada juu ya magonjwa mbalimbali hapa. nimegundua kua maada nyingi na za mzingi wengi wetu hawazijibu au huwa wanakejeli tu. lakini kinachonishangaza ni kuhusu maada za ngono. kwa nini mtu akiandika kuhusu ngono asilimia kubwa ya watu wanaijibu tena kwa kwa fuuraha kubwa? je, wana JF doctor ni wa ngono? au watanzania wengi waijua ngona kuliko afya zao. Je, hiki ni kieelelezo kuwa ukimwi TZ utaendelea kuongezeka kwani sisi wenyewe ni washabiki wangono kuliko maada nyingine? asanteni. nasubiri mchango wenu kwa hili!!:glasses-nerdy:
 
Na wewe umeamua kutoka na title inayohusu ngono ili upate uchangiaji mkubwa?. Wadau watakujibu wanafikiria majibu.
 
nilichojifunza jf ni kuwa wa TZ wengi tunapenda ngono na siasa , kama huamini nenda jukwaa la siasa na MMU uone thread zinavyotembea
 
Back
Top Bottom