swala la mpira kwenye ndoa.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
hivi niulize wanandoa,je? ni poa kutumia mpira kama njia ya kupanga uzazi? kwani siku hizi si ya kiume tu hata ya kike ipo.
 
Oh yeah...hakuna ubaya wowote. Tena kwa mtazamo wangu ni bora zaidi kwa sababu kama mmoja wenu ana stray na kumegwa ama kumega pembeni angalau inapunguza uwezekano wa wewe au yeye kuambukizwa migonjwa ya zinaa na pengine hata li "bug"....
 
Kwa wasio wanadoa hawaruhusiwi kuchangia mawazo yetu?
 
Last edited:
bwana josm naona pengine unaweza changia kwani hata mapadre huchangia sana ktk kurekebisha ndoa zinazoelekea kuvunjika na wala hawajui demu wala bibi haha.karibu.
 
Abdul swali liko rahisi.je?mke wako anapokushauri mtumie condom kama njia ya kupanga uzazi,utachukulia vipi?ni sawa ama sio?
 
Kwangu mimi ni bora kwa wanandoa kutumia mpira (kondom) ktk kupanga uzazi kuliko kutumia hizo njia zingine kama vidonge, sindano n.k kwa sababu zina madhara kiafya kwa akinamama, japo wanaume wachache wanalalamika pia kuwa kondom zinawawasha, but uzuri ni kwamba kuna kondom za kike ambazo hazina effect yeyote kwa mtumiaji
 
Wow!
Kumbe tuna mengi ya kujifunza?
 
Oh yeah...hakuna ubaya wowote. Tena kwa mtazamo wangu ni bora zaidi kwa sababu kama mmoja wenu ana stray na kumegwa ama kumega pembeni angalau inapunguza uwezekano wa wewe au yeye kuambukizwa migonjwa ya zinaa na pengine hata li "bug"....

Sidhani kama kwenye ndoa wanandoa wanajikinga na maambukizi cos as far as i know the condoms will only be used during the DANGER days, so the use of condoms sana sana katika ndoa ni kuzuia mimba zisizotegemewa!!!

I think for birth control the use of condoms is the best option since no drugs/chemicals involved. But before it should be agreed upon by the couples....
 
Yes i agree with you DMusa but the challenge is most men na hasa wale wasio na knowledge na elimu ya afya wanakuwa wagumu kuelewa kuhusu matumizi ya condom wakati wa siku za hatari ,ndio maana utakuta wanawake wengi wanopt kutumia other means of birth control coz their partners seem not to care about it, nadhani kuna haja hasa ya elimu hiii kuwafikia wanaume na kujua umuhimu wa matumizi ya condom kama birth control kwasababu hazina side effect kwenye mwili wa mwanamke kama hizo njia zingine za uzazi wa mpango zilivyo.
 
Haki mi siwezi kutumia njia hii hata waf hazipendi. Kwa kuwa tunajua njia zipo nyingi na salama. Raha ya shokishoki ni nyama peke yake. Kwa wenye ndoa na walio waaminifu tu
 
hivi niulize wanandoa,je? ni poa kutumia mpira kama njia ya kupanga uzazi? kwani siku hizi si ya kiume tu hata ya kike ipo.

Nadhani wanandoa wengi wanakosa maarifa hivyo kudhani kufanya mapenzi ni lazima kuwepo na intercourse! Zipo namna nyingi za kufanya mapenzi bila intercourse na wanandoa wakaridhishana hamu zao kabisa na papo hapo kuepuka uwezekano wa kushika mimba.

Kondomu kama haitumiki kila mnapofanya mapenzi, inaweza isiwe njia nzuri ya kupanga uzazi. Utakubaliana na mimi kwamba si rahisi kwa wanandoa kutumia kondomu siku zote (wengi watatumia siku ambazo wanaamini ni 'za hatari'). Sasa hapa ndio kwenye tatizo kwa sababu si rahisi kila wakati kutambua siku za hatari kwa uhakika na hili linapelekea mimba zisizotarajiwa. Hii inafanya kondomu kutokuwa njia madhubuti ya kuzuia mimba na hivyo wengi hupenda kutumia madawa (japo yana madhara makubwa!).

Suala la kondomu linategemea pia na imani yako.Kwa mfano kanisa katoliki linapinga matumizi ya kondomu kwa sababu yoyote ile! Hivyo, kama wewe ni commited Catholic, kutumia kondomu ni 'dhambi'!.

Ni vema tukakumbushana pia kwamba kupanga uzazi ni dhana pana zaidi ya kuzuia mimba.
 
Back
Top Bottom