SWahili vivu sana

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Waswahili 2 wavivu sana baada ya kucheza bao wakataka kuita taxi iwapleke msibani, kila mmoja anajisikia uvivu kuita taxi, baada ya mabishano marefu mmoja akaita taxi iliyokuja na kusimama mbele yao kidogo, mzozo ukaanza tena kwanini wasiite taxi ya kuwateremsha msibani badala ya kuwapeleka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom