Swahili based programming screencasts

zech

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
455
371
Hey guys, today i decided to start making screen-casts mostly targeting swahili speakers, i am not very good speaking especially tech in Swahili so nimechanganya lugha kidogo lakini point is i want watu wanaozungumza kiswahili waelewe, these will be free screencasts on different topics, so if you want to you can subscribe and request a screencast on a certain topic. I will do my best if its within my capability, if not, i may ask someone else to help.

NB: The voice quality is still not very good because i traveled and left my headphone, so natumia speakers za computer.

check them out here Swahili Programming Tutorials
 
kiswahili, kingereneza kwenye bandiko hili sio kabisa! ukiamua kutumia lugha fulani simamia lugha hivyo mwanzo mwisho!
 
Kwanini niangaike na Vim wakati Editor za kisasa kama Sublime Text Editor zipo . Na viewers wanaotumia windows watafanyaje?„ Download vim ya windows? sidhani kama terminal ya windows inafaa kwa ku-code
 
Kwa sababu vim inakufanya uwe faster. Muda unaotumia kutoa mkono wako kwenye keyboard kwenda kwenye mouse ili u click ni muda ambao ukiuzidisha mara 200 unaweza ukakuta umetumia dakika 5 kwa ajili ya kushika mouse. vim pia ina uwezo wa kufungua file hata iwe kubwa vipi, bila kuchelewa, there's a reason most good programmers use it. (i was using sublime text like you before by the way, and i used to say the exact same things about vim that you're saying right now)

It is free and works on all Operating Systems, including Windows. It is customizable and makes editing text the way it was supposed to be. It is the one editor(and nano) that is used on almost all servers, and it can edit files even from the server locally without any problem whatsoever.
 
Mkuu nice tutorial keep it up golang ni moja kati ya language nilizo kuwa nahaitaji kujifunza mwaka huu so.. pamoja mkuu
 
Nice work, keep up making tutorials, nimependa sana ulivyoi~pimp vim yako.
Naipenda Vim kama nafanya kazi zinazoinvolve HTML/CSS/JavaScript ila nikiwa natumia mfano Java, C++ there's no way nakimbia IDE especially kama ni project kubwa inayohitaji thousand lines of code, IDE ni very powerful than vim kwa hizi languages, vitu kama autocompletion, package management, realtime error correction. Vim ingekua as powerful as something kama eclipse kwenye hizi languages ningeweka pembeni kabisa IDEs, napenda sana command line its just very fast.

Hehe ila umenichekesha sana kweye video yako ya GoLang, channel ni Swahili Programming lakini baada ya sekunde 30 za kwanza umemwaga ngeli mwanzo mwisho.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom