Swagga zikizidi na kunata

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
swagga
2.jpg
 
Mswahili akipata makalio hulia mbwata! Anyway hata kama mali ya urithi ndo yao tena.

Sent from my iPad using Tapatalk HD
 
Jamani hata masikini pia kuwa wanajiachia wakipata nafasi ije kuwa kwa J Kusaga ambaye anajua hela ya kutumia haimpi mashaka?
Ni nani ambaye akipata pesa au nafasi huacha kujiachia kama alivyofanya yeye?Najua wengi majumbani mwenu mna sofa,je mnakaaje?
 
Hahahaha...kweli aisee. Mtu akiwa na mafanikio kidogo tu lazima watu waseme ni freemason!!
utasikia tu free masoni yule wanakuwekea na picha moja kanyanyua vidole juu ama wanazungushia kiduara kwenye chata ambalo lipo kwenye nguo yake basi wabongo hapo tumeshakamatwa ...ha ahaa
 
utasikia tu free masoni yule wanakuwekea na picha moja kanyanyua vidole juu ama wanazungushia kiduara kwenye chata ambalo lipo kwenye nguo yake basi wabongo hapo tumeshakamatwa ...ha ahaa
Bendera ya CDM naona ina vidole viwili, hata salamu yao ni kunyoosha vidole viwili.Na hizi zote ni alama za freemansons. Hivi hawa jamaa siyo freemansons kweli?
 
Bendera ya CDM naona ina vidole viwili, hata salamu yao ni kunyoosha vidole viwili.Na hizi zote ni alama za freemansons. Hivi hawa jamaa siyo freemansons kweli?

ha haaaa.... na hii tuuiteje? huoni alama ya V Hapo kwenye jembe na nyundo
ccm_sign.jpg
 
Ukiwa na avatar za ajabu ajabu na unapenda picha za kutisha tisha ni freemasons.
 
Hahahaha...kweli aisee. Mtu akiwa na mafanikio kidogo tu lazima watu waseme ni freemason!!

khee wewe wamekupiga ban umewafanyaje tena?haha afadhali mkutano wetu leo upite wakati una serve ban...
 
haka karejao kamekosea nini tena??

kum-ban rejao ni sawa na kuumizwa kichwa na shibuda............ wangekafungulia tu kaondoe stress,
 
Wabongo bwana...when you raise others are working hard to make you falll. Mwacheni aringe mali si yake....Kama hanilishi hanivishi wala simtii akilini kumdiscuss.
 
Back
Top Bottom