Suzuki Samurai For Sale

Venus

Member
Oct 12, 2011
12
0
Suzuki Samurai ya 1990 inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri na inatembea. Inaendeshwa na mama. Kama unaitaji wasiliana nami (nipm). Bei ni negotiable.
 

Attachments

  • Samurai.pdf
    39.2 KB · Views: 418
Negotiable ndiyo bei gani? Kidhungu kigumu japo natamani kujua bei pia.
 
22 yrs, duh, sijui atasema bei gan nafikir hata yy anajisikia aibu kutaja bei, coz anaiuza mill.....
 
mbona kama vile limetupwa hata plate no, road lesensi, insuarensi, inspeksheni stika halina?, machale yananicheza!!!!!!!
 
weka bei hadharani mzee tukiikubali ndo tuku pm, iko mahali gani tunaweza kuiona?
 
Samurai ni jembe la kazi. fuel economy,durable very efficient car, 4x4 ya uhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom